Kwa anaefaham naomba anisaidie namna ya KUJISAJILI na mitiani ya bodi tayari Nina account ya MEMS nimesha upload vyeti Sasa bado sielewi nini nifanye kukamilisha Hadi niweze kulipia Ile ada ya mitihani.
Chuo Cha maji kipo poa ila anatakiwa akaze akiwa mzembe atashindwa Mana Kuna program ya next offer ukipata sap ukashindwa kusapua unapata next offer kwa maana ya utarudia mwaka na Mambo ni magumu lazima ajue mathematics vizur ila ni chuo kizur ukimaliza ukapata nafasi ya kazi basi utakula maisha
Nahitaji vijana wawili wenye uwezo wa kufanya biashara ya samaki eneo ni Kongowe Dar es Salaam
Wawe na uwezo wa kutengeneza samaki wabichi, kukaanga samaki. Malipo hayatapungua 5000 na hayatazidi elfu 8000 kwa kila siku
Alie tayari tunaweza kuwasiliana kupitia 0748060694
Habarini wapendwa,
Naomba ushahuri kuusiana na biashara ya samaki wa kukaanga kwa anaefaham anipe ushauri naitaji kuianza hii biashara nimepata meza maeneo fulani hivi Sasa nilikua nataka niweke samaki wa kukaanga naomba ushauri anaefaham namna soko lake lilivo na hata wanakopatikana kwa bei...
Kama unaitaji kwenda open University pako vizur kwa ushauri wangu na kwa kozi Kama yako hua wanafundisha online and distance mode pamoja na face to face so Kuna mda utaingia daraeani wapo vizur ila wanna center nyingi wew jiunge kwenye center kubwa Kama ya kinondoni pale vitabu vipo kila kitu na...
Niliongea na jamaa 1 akasema wapo bado na mchakato maombi yalikua mengi Sana ila watatoa majina yatatangazwa na ofisi ya wazir mkuu na kwenye magazeti pia
Niliongea na jamaa 1 akasema wapo bado na mchakato maombi yalikua mengi Sana ila watatoa majina yatatangazwa na ofisi ya wazir mkuu na kwenye magazeti pia
aseee nilikaaa nikasoma nikaelewa kwa sasa los kwangu kupata ni ngumu sana ni mwendo wa kuingiza pesa ndefu kila siku in real iko poa sana ka itaielewa ila usicheze kama hujui
samahan waungwana naomba kujuzwa kitu iki kashwasa na shuwasa ni mamlaka moja yenye ofisi moja au ni ofisi mbili tofauti naomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa na iki
Naitaji mtu wa kushirikiana nae katika kazi za plumbing(installation of pipes sink and so) Vifaa vyote vinavyohusika katika kazi ninavyo tutashirikiana kama team katika kutafuta chanel za kazi na kuifanya
Kwa mwenye ujuzi na plumbing na alie tayari anitext tuyajenge 0777625025
NIPO DSM
Sent...
Nina shida na eneo/meza ya biashara tandika ama eneo lolote kwa mwenye uwezo wa kunisaidia hadi nikapata nitamshukuru sana kwa kidogo nilichonacho kwa msaada wake plz kwa mweny kuweza kunisaidia ilo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.