Naomba ushauri kuhusu biashara ya samaki

Naomba ushauri kuhusu biashara ya samaki

muzr

Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
31
Reaction score
18
Habarini wapendwa,

Naomba ushahuri kuusiana na biashara ya samaki wa kukaanga kwa anaefaham anipe ushauri naitaji kuianza hii biashara nimepata meza maeneo fulani hivi Sasa nilikua nataka niweke samaki wa kukaanga naomba ushauri anaefaham namna soko lake lilivo na hata wanakopatikana kwa bei ya jumla na Kama Kuna connection ili nipate mzigo kiuraisi anisaidie nipo Dar es Salaam Kongowe
 
Back
Top Bottom