Naomba msaada jinsi ya kujisajili mitihani ya Bodi ya Uhasibu

muzr

Member
Sep 5, 2017
31
18
Kwa anaefaham naomba anisaidie namna ya KUJISAJILI na mitiani ya bodi tayari Nina account ya MEMS nimesha upload vyeti Sasa bado sielewi nini nifanye kukamilisha Hadi niweze kulipia Ile ada ya mitihani.
 
Kama ni kuhusu kulipia mitihani nenda kwenye menu-my application kisha chagua mitihani unayotaka kufanya ukimaliza procedure zinajieleza juu utaona neno linaloashiria malipo sikumbuki vizuri limeandika pay nw au ni nini, km unatumia pc huwa vitu vinadisplay kwa urahis zaid
 
Asante sana
 
Back
Top Bottom