Recent content by Muyenjwa Godfrey

  1. Muyenjwa Godfrey

    JamiiForums Tanzania Azaki Gamba,Afariki dunia

    Pumzika kwa amani baba yetu.
  2. Muyenjwa Godfrey

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Isaac Muyenjwa Nyagabona Gamba afariki dunia

    Pumzika kwa amani BABA.
  3. Muyenjwa Godfrey

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini tabaka la chini hugombania Wanawake?

    Chini na juu ya wapi?
  4. Muyenjwa Godfrey

    JamiiForums Tanzania Usajili kidato cha sita

    Ndio. Hakikisha unawapa majina yako na namba ya mtihani kwa usahihi. (pamoja na mwaka wa kuzaliwa) Vinginevyo, majina yakija kutofautiana na cheti cha kidato cha sita itakupa shida. Zungumza nao. Kwasababu lengo la kuleta cheti cha form four ni kuhakikisha usahihi wa taarifa zako bila...
  5. Muyenjwa Godfrey

    JamiiForums Tanzania Usajili kidato cha sita

    Pole. Unakumbuka majina yako na namba zako kwa usahihi??
  6. Muyenjwa Godfrey

    JamiiForums Tanzania Misamiati Mipya ya Kiswahili

    Siku zote nimekuwa nikijua kuwa lugha haiundwi na kikundi cha watu kama wafanyavyo Baraza la Kiswahili la Tanzania kutengeneza maneno magumu wanayoyaita Kiswahili. Lugha huja yenyewe kama tulivyozaliwa tukaikuta, na mababu zetu kabla yetu walivyoikuta.
  7. Muyenjwa Godfrey

    JamiiForums Tanzania Siku Mwigulu atakapoongoka na kutubu

    Maandishi yataishi milele!!!
  8. Muyenjwa Godfrey

    JamiiForums Tanzania Nadhani sasa kitaeleweka!

    Mungu ibariki JamiiForums!!
  9. Muyenjwa Godfrey

    JamiiForums Tanzania JamiiForums: Tumerejea baada ya kutoweka hewani kwa wiki 3

    Mungu ibariki JamiiForums!
  10. Muyenjwa Godfrey

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana tigo kwa huduma zenu nzuri

    Katika swala la kufanya miamala ya kimtandao, kibenki, au kimalipo kwa kweli TiGo wako vizuri. Wana kasi na usalama.
  11. Muyenjwa Godfrey

    JamiiForums Tanzania Watanzania mnajionaje?

    Mkuu....
  12. Muyenjwa Godfrey

    JamiiForums Tanzania Fahamu kisa cha huyu binti kujinyonga

    Masahihisho, mkuu : Ni mwanafunzi wa chuo kikuu Makumira, Arusha. Sio Iringa.
Back
Top Bottom