Hongereni sana tigo kwa huduma zenu nzuri

Hongereni sana tigo kwa huduma zenu nzuri

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,560
Reaction score
8,308
Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mtumiaji mzuri wa miamala ya kifedha kwenye hii mitandao ya simu za mkononi.
Moja kati ya mitandao ninayotumia, ni huu mtandao wa tigo. Hakika, naweza sema mmeboresha sana huduma zenu. Ni ngumu sana kukuta muamala umefeli au haujaenda huku akaunti yako ikiwa imekatwa fedha.

Mpo vizuri na hakuna mshindani kwa hili. Hakika nawatabiria mafanikio makubwa ninyi na team yenu yote kwakua mmeamua kuwekeza kwenye hii huduma inayoturahisishia sisi watumiaji
 
Mitandao yote ina changamoto isipokuwa zingatia mambo makuu 4
1. Ubora wa huduma (Voice,data na sms)
2.Network coverage isije ikawa unatumia mtandao upo mjini tu vijijini vocha shida.
3.Gharama.Sio unaenda kwenu huko hata kavocha kupata shida unaanza kusumbua ndugu zako wakutumie vocha.
4.Msaada wakati wa dharura.Je unaweza kuwapata customer care wao kwa wakati ukasaidiwa au mpaka ufanye maombi?
 
Tgo mtandao wa kijinga na ni wezi.. Unapojiunga vfurushi zaid ya kimoja kwa nyakat tofaut, kifurushi ulichojiunga mwisho ndio kinaanza kutumika badala ya kile cha kwanza hata kama hakijaisha..
Mf: Ukijiunga kifurushi cha Socia park (Fb, IG,Tweeter & Whpp..) Then ukajiunga kifurush kingine, let say kifurushi cha chuo.. Ukitumia social media Mb zinazoanza kutumika ni zile za kifurushi cha mwisho kujiunga ambacho hapa ni kifurushi cha chuo.. Huo ni wizi coz kila kifurushi unachojiunga kinamatumizi yake..
 
bora tigo kuliko vodacom,voda mtu unakuwa hewani halafu mtu anakuambia namba yako haipatikani.na hawachukui hatua yeyote in short voda wamebweteka sana,wengi tunaendelea kuwahama taratibu sababu hawaboreshi huduma zao ili ziwe bora.
 
Katika swala la kufanya miamala ya kimtandao, kibenki, au kimalipo kwa kweli TiGo wako vizuri. Wana kasi na usalama.
 
We umetumwa, kati ya kampuni wezi na wanahitaji kuchunguzwa na TCRA ni tigo, hawa jamaa kwenye vifurushi ni wasanii wakutupwa, weka vocha kama kesho yake utakuta hata shilingi kumi au kopa uone dk ulizopewa km zitaisha, riba watachukua na utakatwa bei kubwa mfano sms tshs 70, tshs 40 kwa mb moja
 
Tgo mtandao wa kijinga na ni wezi.. Unapojiunga vfurushi zaid ya kimoja kwa nyakat tofaut, kifurushi ulichojiunga mwisho ndio kinaanza kutumika badala ya kile cha kwanza hata kama hakijaisha..
Mf: Ukijiunga kifurushi cha Socia park (Fb, IG,Tweeter & Whpp..) Then ukajiunga kifurush kingine, let say kifurushi cha chuo.. Ukitumia social media Mb zinazoanza kutumika ni zile za kifurushi cha mwisho kujiunga ambacho hapa ni kifurushi cha chuo.. Huo ni wizi coz kila kifurushi unachojiunga kinamatumizi yake..
sio wajinga,wewe ndio mjinga,,wenzio wanatumia formular ya LIFO badala ya FIFO unayoitaka wewe...
 
Hata kamisheni zao ni nomaa ni mara mbili ya za mpesa

Mawakala wanafurahi sana mteja wakuweka au kutoa tigo akifika kupata huduma
 
sio wajinga,wewe ndio mjinga,,wenzio wanatumia formular ya LIFO badala ya FIFO unayoitaka wewe...
Kwa ninavyofaham mm.. LIFO method hutumika ktk kupanga bei ya bdhaa/huduma.. ila wakat wa kuissue Fifo hutumika..

Any way.. huoni hio method inamuumiza mtumiaji..
 
Tgo mtandao wa kijinga na ni wezi.. Unapojiunga vfurushi zaid ya kimoja kwa nyakat tofaut, kifurushi ulichojiunga mwisho ndio kinaanza kutumika badala ya kile cha kwanza hata kama hakijaisha..
Mf: Ukijiunga kifurushi cha Socia park (Fb, IG,Tweeter & Whpp..) Then ukajiunga kifurush kingine, let say kifurushi cha chuo.. Ukitumia social media Mb zinazoanza kutumika ni zile za kifurushi cha mwisho kujiunga ambacho hapa ni kifurushi cha chuo.. Huo ni wizi coz kila kifurushi unachojiunga kinamatumizi yake..
Nakumbuka zamani voda ulikuwa ukijiunga na kifurushi cha Mb ama dakika ....salio lako kwenye simu ndio linaanza kutumika kabla ya kifurushi..!
 
Back
Top Bottom