Recent content by muxin

  1. muxin

    Hakuna fao la kujitoa, Bunge limethibitisha

    Nmeipenda sn comment yako. Nadhan itapendeza zaid tukiweka itikad za vyama Na kuangazia maslahi ya taifa
  2. muxin

    Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Acha masihara mkuu
  3. muxin

    Rais Robert Mugabe ahudhuria Mahafali ya Chuo Kikuu, Jeshi limeshindwa na kufyata mkia?

    Duh, Yaan najihis km naangalia movie za Hollywood. Ni style ya mapinduzi ya kipekee hii
  4. muxin

    Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Unachobisha nini sasa. Isipokuepo njoo nkupe 50 ukanywe balimi
  5. muxin

    Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Wakuu Hebu achen kudanganyana apa. Addition ni 183k for Dgr holders TGS D levo. Ikiwa punguf ah zaid nitafte nkupe 50 ya soda. OVER
  6. muxin

    Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Tufanye 900 itapendeza zaid
  7. muxin

    KENYA: Askofu asilimu na wafuasi wake, ageuza kanisa lake kuwa msikiti

    Duh, sikuwahi kuwaza km kiongoz mkubwa wa kidini anaweza kuhama dini yake km kuhama chama Cha siasa.
  8. muxin

    Balozi Chokala aeleza walivyomsafirisha Dk. Shika kijajusi

    Duh, kumbe urusi kuna chuo kikuu Lumumba! Aisee itabd nitafiti zaidi, kuna harufu ya uongo
  9. muxin

    Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

    Hapana Sikubalian Na wewe. Bado anastahili heshima yake Kama mpigania uhuru ma baba wa taifa Lao. Alikua anapotezwa tu Na make wake Na watu wachache wanomzunguka. Ukzingatia Na umri nao ulimtupa mkono, kitaalamu hara reasoning capacity ilkua imeshuka sn. 93yr sio mchezo mkuu
  10. muxin

    Kinachoendelea Zimbabwe: Nchi yawekwa chini ya Jeshi, Mugabe kung'olewa?!

    Msamehe bure Dr. Shika, kamanda mambosasa alishasema tayari kua mleta mada ni mtu wa nyikani. Sasa wewe unamngangania wa nini.
Back
Top Bottom