Nahisi nitafunguliwa mashitaka hivi karibuni ya kuwa na mali nyingi

Hufunguliwi mashitaka kwakuwa una mali nyingi bali unafunguliwa mashitaka ikiwa hutaweza kueleza mali hizo umezipata vipi na kwa vyanzo halali ikiwemo mshahara wako au mkopo...
Kama utashindwa kuthibitisha jinsi ulivyo pata mali zako basi utashitakiwa kwa kujipatia mali kwa njia zisizo halali....
Haiwezekani una mali halafu ushindwe kusema kuwa mimi hiii nilinunua kwa mshahara wangu,hii nilichukua mkopo nikafanya hiki nikapata faida nikafanya hiki.....
=======
hatuweki evidence ya kila kitu mkuu. Utathibitishaje hilo ndilo swali?
 
Wewe hamna kitu hauna mali nyingi kama mm alafu nadunda kama kawaida job na hakuna anaeuliza ngoja nikutajie sasa uone ''''
1.flat screen inch 52
2.kitanda cha chuma quality5/6
3.sony kubwa
4.kabati la nguo na vyombo
5.jiko la gesi plate 3 na mtungi mkubwa
6.cret 4 za bia na wisky za kutosha kwenye frij kubwa
7.Mademu ndo usiseme wengi hadi wanakera
8.namiliki passo ila bado naishi nyumba ya kupanga
>>>> acha kuleta uswahili una mali wapi bhana unatafuta watu maneno tu kupoteza muda kukujadili wewe
 
Back
Top Bottom