Recent content by Muu12

  1. M

    Nauza nyanya cherry tomatoes

    nauza nyanya fresh toka shambani ( (kiluvya )box shilingi 25,000/= na cherry tomatoes (vidogovidogo) kwa kilo shilingi 4,000/= nyanya zote ni fresh. tafadhali wasiliana nami kwa namba 0621095977
  2. M

    Nauza cherry tomatoes

    napatikana kibaha kama utahitaji kufika shambani ila kwa supply nakuletea ulipo
  3. M

    Nauza cherry tomatoes

    Mimi ni mkulima wa nyanya; niko mbio ni kuanza mavuno ya nyanya zangu. ni nyanya za kawaida pamoja na zile ndogo ndogo {cherry tomatoes} wengine wanaziita baby tomatoes. Nakaribisha mwenye uhitaji wa jumla na rejareja kwenye supermarkets na hoteli. asante
  4. M

    Biashara ya nyanya kwa msimu huu

    nakaribia kuanza kuvuna nyanya. ni nyanya za kawaida na zile ndogo (cherry tomatoes). mwenye uhitaji wa jumla tafadhari tuwasiliane mapema
  5. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    ukiweza anza upya
  6. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Umelala na huna uwakika wa kula?
  7. M

    Telegram ni bora kushinda Whatsapp Mara kumi

    aaaaah hii ni hatareee watatuaa waAfrica
  8. M

    Natafuta kazi ya civil engineering

    sasa wewe civil engineer why upo vzr katika quantity surveyor field? ngoja tukuchekie site upate experience ya site as civil enginer
  9. M

    Binti wa mama mwenye nyumba

    hahahaha eti Uncle bujibuji "kill me"
  10. M

    Meno ya Tembo na Wachina nini Siri?

    Tunawezaje kulinda hawa Tembo wetu wachache wanaohesabika Mbugani? ni kwa kutolewa adhabu kama ya walee Wachina? Kuna nini katika haya meno ya tembo?
Back
Top Bottom