Habari zenu!
Natafuta kazi mwenzenu. Elimu yangu ni degree in civil engineering. Nimetafuta kazi bado sijapata. Kama unafahamu kampuni yoyote ya contractor au consultant naomba unisaidie hata mawazo jinsi gani ntapata nafasi. Iwe majengo au barabara zote nipo vizuri tu. Naishi dar es salaam.
Thanks.