Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,393
well telegram wapo vizuri kwenye kila angle kulinganisha na whatsapp. ni apps bora sana kwa security maana waweza fanya secure chat na mtu na bado watu wasiweze kukudukua maana ina end to end encryption. Whatsapp wapo mbele kwa sababu walitangulia tu, nothing else.