Recent content by mutyama

  1. mutyama

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    Ina km ngapi???
  2. mutyama

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu wish na allex

    Wakuuu naombeni kujua ipi gari imara kati ya toyota wish na allex
  3. mutyama

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    -------------------
  4. mutyama

    JamiiForums Tanzania Naomba mnikaribishe Mimi ni Member mpya

    Mmmmh hayaaa karibu saba
  5. mutyama

    JamiiForums Tanzania Bustani ya 'Eden' ipo nchi gani?

    Hatuwez sema ulaya au asia maana hii ni migawayo ya kisasa. Kimaandishi ilikuwa mashariki ya kati
  6. mutyama

    JamiiForums Tanzania Bustani ya 'Eden' ipo nchi gani?

    Bustani ilikua dunian syo mbinguni ndio sbb hakuna andiko linalosema adam na hawa walitupwa dunian. Bali walifukuzwa bustanini na mungu akaweka malaika kuilinda ili wasiingie tena. So wakaanzisha maisha pembezon mwa bustani
  7. mutyama

    JamiiForums Tanzania Bustani ya 'Eden' ipo nchi gani?

    Eneo lipo mpaka sasa lkn bustani iliishaharibiwa na vashilia vya bustan vipo
  8. mutyama

    JamiiForums Tanzania Bustani ya 'Eden' ipo nchi gani?

    Bustani haipo ila eneo lipo na viashilia vya bustan vp na vinazungumzwa san dunian
  9. mutyama

    JamiiForums Tanzania Bustani ya 'Eden' ipo nchi gani?

    Ilikua mpakani mwa iran na irak
  10. mutyama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dakika 30 za PLO Lumumba zaimaliza NASA ya Odinga mahakamani, wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwake jamaa huyu

    Acha muhemkoo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mutyama

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la vijana wakiume na wakike kutafuta wachumba JF nini haswa tatizo?

    Ni njia ya mawasiliano tu kama unavyoweza kupiga cm na kumwaga sera kingne ni watu kuchoka na mahusiano yakutendana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mutyama

    JamiiForums Tanzania Serikali iseme ukweli, ni wanasiasa gani wamekwenda Canada kuzuia ndege?

    Mmmmmmh kila jambo......... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mutyama

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Hekaya za abunwasi ndege watengeneze wao alafuwasijue jinc ya kuikamata shame on you Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom