Bustani ya 'Eden' ipo nchi gani?

Bustani ya 'Eden' ipo nchi gani?

Kama uliambiwa binadamu wa kwanza huenda aliishi Olduvai Arusha, basi hiyo bustani ilikua Olduvai
 
Kweli kabisa, naona wadau hawapo seriously..! Wanacomment upuuzi tu, watu kama hawana uhakika wa jibu la swali waliloulizwa sio lazima wajibu.
Zaidi ya hapo kuna watu ukikoment kitu ambacho hawakipendi, wana kunukuu halafu wanakuporomoshea matusi mazito utafikiri ulikuwa na ugomvi nao.
Wanaharibu kabisa maana ya Forum hii.
 
Hatuwez sema ulaya au asia maana hii ni migawayo ya kisasa. Kimaandishi ilikuwa mashariki ya kati
 
MKUU HYO BUSTANI HAKUNA ANAYEJUA ILIPO, MUNGU ALIPOWAFUKUZA ADAM NA HAWA, ALIWEKA WALINZI KILA PANDE YA BUSTANI.
Walinzi na uwepo wa bustani kuna uhusiano gani....???

Ushahidi wa bustani ya Eden kuwepo Iraq upo wazi kabisa....Ukisoma kirabu cha Mwanzo, kunatajwa mito iliyokatiza ktk bustani hiyo.....Moja ya Mto uliotajwa ni Mto Tigris..

Mto Tigris upo Iraq leo hii.....Hivyo ushahidi wa kimazingira unaipa nguvu kuwa Bustan ya Eden ilikuwa Iraq
 
Bustani hii ipo tanzania mkoa wa arusha pale katikati ya mlima kilimanjaro kwenye ile barafu ambayo wengi hawafikagi
Mlima Kilimanjaro hauko Arusha, uko mkoa Wa Kilimanjaro na Maji Wa Moshi uko chini ya mlima huo.
 
Back
Top Bottom