Bustani ya 'Eden' ipo nchi gani?

Bustani ya 'Eden' ipo nchi gani?

Haa haa,wengine wanaweza kusema Chato.
Mbona mambo mengi kuhusu ADAMU na HAWA yamewekwa wazi ila hili la eden linakuwa fumbo?
Hahaha mm naona itakuwa pale mtaa wa lumumbaa

Ova
 
Hiyo ni Siri y'all Mungu
Yaliyofunuliwa ni yetu
Ambayo hayajafunuliwa ni ya Mungu
Kweli yako ninavyojua bustani ya Eden iko mbinguni na sio ardhini
Nimetembea Iraq sana hakuna mahali wamenionyesha kuwa hapa ndio bustani ilipo
Nimeuliza sana
 
Kweli yako ninavyojua bustani ya Eden iko mbinguni na sio ardhini
Nimetembea Iraq sana hakuna mahali wamenionyesha kuwa hapa ndio bustani ilipo
Nimeuliza sana
Mkuu, inaaminika kuwa Bustani hii ilikuwa ktk nchi hiyo kwasababu baadhi ya mito inayotajwa ktk Biblia kutiririsha maji ktk bustani ya Edeni, inasemekana kuwapo huko japo Bustani yenyewe haipo.
 
Mkuu, inaaminika kuwa Bustani hii ilikuwa ktk nchi hiyo kwasababu baadhi ya mito inayotajwa ktk Biblia kutiririsha maji ktk bustani ya Edeni, inasemekana kuwapo huko japo Bustani yenyewe haipo.
Historia ni ndefu na hiyo mito nimeiona lakini sijui kama ni hivyo ila nafikiri watoto wa kwanza wa prophet Adam walizaliwa huko
Wengine wanasema ni Ethiopia lakini ukiwauliza wahabashi hawana jibu la hilo pia.
Ngoja nipekue zaidi napenda kujua zaidi
 
Bustani ilikua dunian syo mbinguni ndio sbb hakuna andiko linalosema adam na hawa walitupwa dunian. Bali walifukuzwa bustanini na mungu akaweka malaika kuilinda ili wasiingie tena. So wakaanzisha maisha pembezon mwa bustani
 
itakuwa ulaya/asia.
 
Ipo Kagera mkuu,inapakana na Biirabo na Bugarama ,iko pale Igabiro farm,ulizia utaambiwa.
 
Back
Top Bottom