Raisi wa JMT Mh.JPM amemtembelea Muhubiri Mzee wa Upako au "Transformer" kamwambia anaguswa na uhubiri wake,ahaidi kumjengea barabara ili waumini na wananchi wa Maeneo hayo wasipate usumbufu.
Source.Kurugenzi Ikulu
Tatizo lako haukuendelea kujaza hizo form zao kwa wakati baada ya kupata mkopo,haki ni lazima iendane na wajibu,ni tabia ya vijana wengi kutoendelea na kujaza hizo form,mkikosa ndo mnaanza kuhangaika kujaza,na inakuwa too late.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.