Kama wewe ni mtumishi wa umma, Sekta binafsi NAKUSHAURI KWA DHATI KABISA usifanye kosa jiunge na Mfuko wa LAPF. Mimi ni mstaafu nililipwa mafao yangu siku moja kabla sijastaafu takriban Tshs.193m.
Mfuko huu hauna USUMBUFU wa njoo kesho, njoo mwezi ujao. Wanapofanya mahesabu ya kukulipa wanafanya kwa uwazi na mlengwa anashirikishwa.
Watumishi wao ni waungwana na wachapapa kazi sana akina Mablangeti, Ndwata, Miraji,Sayi,Mkwata na wengine wengi. ACHANA NA USUMBUFU JIUNGE NA LAPF.