Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,851
Nipe namba yake haraka, nataka nimuoe mimi
Kama haudhani, basi ujue unampenda sana! Muoe huyo mwanamke...una changamoto zako zinazokufanya ushindwe kuoa usisite mwambia zote!!! Anataka ndoa basi azitatue zote, ikiwa mahali n.k...hawezi kuzitatua basi umwambie asisite kukuvumilia!!!Sidhani kama inawezatokea ishu kama hiyo
Ukishakuwa approved njoo kwangu bado nipo nipo.Mmmh mzee....
Mie demu wangu anasema mwaka huu ukiisha next year lazima AOLEWE. Anasema umri unaenda...
Mie namsikilizia tu mzee, hata sina presha.
Ndio kwanza ERB hawajani approve kuwa Profesional Engineer halafu nikimbilie kuoa..
HIZO NI AKILI MATOPE!!!!
Ndoa mkataba mzee, jipange kwanza.
#Chief Eng.
Shukrani kwa ushauri wako kakaKueleweka kwa jambo lolote kunategemea na jinsi unavyoliwasilisha.......ni wazi kuwa kuyaingia majukumu makubwa kama ndoa ili hali huna kipato kama mwanamume si jambo lenye kupendeza bali ni jambo lenye kufedhehesha kwani mwanaume ndio kichwa cha familia.....sasa utakuwaje kichwa cha familia kama unashindwa kutimiza majukumu yako kama baba wa familia ikiwamo hilo la kuhudumia familia.........!!!??
Vile vile kwa upande wa pili hawa wenzetu mioyo yao sio mioyo yenye kuyavumilia hayo kwani kiasili wameumbwa kutunzwa na mwanaume na sio kumtunza mwanamume......
Maisha hayo kwa mwanzo kutokana na kuzingirwa na mahaba ya ndoa hamuwezi kuliona tatizo.......kama utatumia vyema kichwa chako lazima utagundua tu kuwa kuna kitu hakijakamilika kwenye ndoa yenu......
Wewe ambao unamuelezea huyo mpenzi wako ndio uhalisa na anapaswa kuujua kabla ya kuingia kwenye ndoa......yaani kwa lugha nyingine wewe umefikiria nje ya box......jambo ambalo mpenzi wako hakulifikiria kwani yeye amefinikwa na giza zito la huba....inatakiwa akili na mbinu za ziada kuweza kukuelewa.......
Ninachokushauri endelea kushikilia msimamo wako huo huo....lakini usimuweke mbali na mipango yako ya kutafuta kazi.....ili misimamo yako iendane na hali halisiy ya kile unachomuhubiria......
Ni mara chache sana ndoa za aina hiyo kuwa na amani lakini hiyo ni kama kamali na zile unazoziona za hivyo nyingi huwa na utulivu tu....kwa kuwa kuta za nyumab zinaficha siri nyingi......
Shukrani kwa ushauri wako mkuuKijana ndoa sio ya kuingia kichwakichwa. Kaa mshauriane vizuri ujipange Na ukianza kujitegemea ndio uoe.
Mkazie.!