Natafuta mkopo nimalizie ada ya chuo, nimekwama

Mkuu hauhitaji kusafiri hadi Dar, FINCA Bank wapo pia Morogoro Boma Road wamepakana na Hospital ya Agha Khan. Kwenye lile gorofa refu la Omary Awadh.

Wewe nenda hapo ili ujue mapema kama unapata ama la. Mimi ninachojua wanatoa Mikopo kwa wanafunzi na wamiliki wa shule na vyuo.
mkuu nimekwenda leo finca ila sikufanikiwa maana wanasema mpaka uwe mteja wao ndio unaweza kumkopea mtoto wako,yaan nimehisi kuchanganyikiwa ila bado naendelea kuhangaika.
 
Pole sana ndugu yangu, ndio mitihani ya maisha..

Kama kwenye taasisi za kifedha inakuwa ngumu hebu fika pale Ofisi ya mkuu wa wilaya alafu pale pale kuna ofisi ya Mbunge.. Kwasasa mbunge yupo Dodoma lakini nadhani Jumanne anaweza kuwepo ofisini! Lakini nenda pale jumatatu ili katibu wake akusaidie kukupatia appointment ya kuonana naye jumanne!! Anaweza kukusaidia, namfahamu..

Ndio uanaume huo mkuu, yataisha!
 
sawa mkuu nashukuru kwa ushirikiano wako,nitakwenda hio jumatatu mungu akipenda,shukran sana mkuu,nitakujulisha nitakapofikia
 
Hivi mmeshindwa kumuomba uthibitisho then wadau mjichange hata hamsini hamsini mmoja aShike vyeti mtanzania mwenzenu afanye mitihani kisha awalipe? Mnadhani taasisi ya mikopo inakopesha bila dhamana inayolingana na mkopo? Huyu jamaa asaidiwe.
 
Hivi mmeshindwa kumuomba uthibitisho then wadau mjichange hata hamsini hamsini mmoja aShike vyeti mtanzania mwenzenu afanye mitihani kisha awalipe? Mnadhani taasisi ya mikopo inakopesha bila dhamana inayolingana na mkopo? Huyu jamaa asaidiwe.[/QUOTE wear mkuu utatoa kiasi gani. ?? Kuwa mfano.
Anza wewe mkuu . Kuwa mfano utatoa kiasi gani ?
 
Wakuu mimi ni mwanafunzi nasoma chuo cha ardhi morogoro katika fani ya geomatics(land surveying),

Najisomesha mwenyewe kutokana na mitihani ya maisha niliopata hapo nyuma, tunaanza mitihani tarehe 20 mwezi huu,hapa tumepewa mpaka tarehe 17 mwezi huu tuwe tumemaliza ada, otherwise hatutoruhusiwa kufanya mitihani.

Naomba kama kuna msamaria mwema naomba anisaidie mkopo kwa masharti ya kuwacha vyeti vyangu kama dhamana kwa muda wa miezi minne mpaka mwezi wa 10 nitakua nimeshahangaika kuzipata, cheti changu cha form four nina div 111 ya points 14 nilipata penalt ya civics, na form6 pcm nina div111 ya points 12 nilipata penalt ya GS. nadaiwa 638500 ila nahitaji laki 7 ili niweze kumalizia hii semister.namba yangu ya simu ni 0673500181
Upo mwaka wa ngapi??
 
Unasoma llevel ipi chuo ebu fafanua vizuri ikiwa siyo degree fafanua imekuwaje maana una division three na naimani kwa kozi unayosoma hapo utakuwa ulisoma science na kama science alafu upo degree level ilikuwaje ukakosa mkopo asilimia Mia

Angalizo si kuwa nakuhoji hivi kukuvunja moyo rahasha mambo ya wanachuo tunajua mda huu wa kuelekea kwenye UE wengi hukosa ada sababu huwa wanachezea pesa za ada mwanzoni mwa semister

So tunaomba utujibu na omba modereta akusaidie kututhibitishia haya ikiwa kweli miye natoa laki Moja
Wakuu mimi ni mwanafunzi nasoma chuo cha ardhi morogoro katika fani ya geomatics(land surveying),

Najisomesha mwenyewe kutokana na mitihani ya maisha niliopata hapo nyuma, tunaanza mitihani tarehe 20 mwezi huu,hapa tumepewa mpaka tarehe 17 mwezi huu tuwe tumemaliza ada, otherwise hatutoruhusiwa kufanya mitihani.

Naomba kama kuna msamaria mwema naomba anisaidie mkopo kwa masharti ya kuwacha vyeti vyangu kama dhamana kwa muda wa miezi minne mpaka mwezi wa 10 nitakua nimeshahangaika kuzipata, cheti changu cha form four nina div 111 ya points 14 nilipata penalt ya civics, na form6 pcm nina div111 ya points 12 nilipata penalt ya GS. nadaiwa 638500 ila nahitaji laki 7 ili niweze kumalizia hii semister.namba yangu ya simu ni 0673500181
unasoma leve
 
Weka uthibitisho: majina yako matatu, picha, mwaka wa ngapi, confirmation letter na uthibitisho wa accountant kuwa unadaiwa fedha uliyotaja wadau wakuchangie japo kidogo.
 
Mbwembwe zoote nilidhania unataka umtumie angalau laki mbili,nahiyo ID yako inazidi kutoa matumaini
 
Unajua maana ya kitu cha bure? Lakini pia JF ina wanachama zaidi ya laki sasa huoni nitawawekea wengine kauzibe kama nikiitoa yote. Halafu Mkuu 50 unaiona ndogo lakini kumbuka toka asubuhi hujaokota hata mia...basi wewe mpatie hiyo laki 7 yote ili hiyo yangu ndogo isichafue
 
Habari za kuokota hizo kwanza sahau,sema nimetengeneza sh ngapi?pia kama kweli una nia thabiti nakushukuru na kukuombea kwa mungu uendelee kuwa na moyo huo
 
Mijitu inakurupuka kuuliza dogo anadaiwa bei gani wakati ameandika kwa uzi wake..
 
Pole sana ndugu yangu, ndio mitihani ya maisha..

Kama kwenye taasisi za kifedha inakuwa ngumu hebu fika pale Ofisi ya mkuu wa wilaya alafu pale pale kuna ofisi ya Mbunge.. Kwasasa mbunge yupo Dodoma lakini nadhani Jumanne anaweza kuwepo ofisini! Lakini nenda pale jumatatu ili katibu wake akusaidie kukupatia appointment ya kuonana naye jumanne!! Anaweza kukusaidia, namfahamu..

Ndio uanaume huo mkuu, yataisha!
Unamaelekezo lakini hebu msaidie na wewe kidogo ulichonacho maana mbunge ni binaadam kama wewe.
 
Dogo ameweka namba yake ya simu hapo, unaonaje ukamrushia kwenye simu badala ya kutaka kuanzisha malumbano.. Hebu tuache mambo ya kijinga huyo dogo ana tatizo halisi unaweza kumchangia, kumshauri au ukakaa kimya.. Usianzishe ligi za kipuuzi!!

Tuheshimiane tafadhali..
 
Usipanic.. unamaneno mengi nkaona ili uokoe muda ungemtupiamo chochote kimsaidie.."maneno hayajengi ukuta".
 
Back
Top Bottom