Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha ardhi,
niliomba mkopo nikapata na kwa mwaka wa masomo 2014/15 nililipiwa ada pamoja na kupata fedha za kujikimu "boom". Ila baada ya hapo sijapata tena boom pamoja na kuwa nimehangaika bodi ya mikopo, wao wanasema jina langu lipo ila Tatizo lipo chuo,
chuo nako wanasema wameshapeleka jina tatizo liko bodi.
hili tatizo ni la mwaka wa masomo 2015/16 ambapo sijapata hata hawamu moja ya fedha ya kujikimu.
TAFADHALI wadau husika naamini mpo humu naombeni mnisaidie binti yenu.
ninaishi maisha magumu, nimepanga na kodi ipo ukingoni, mzazi mmoja niliyenaye nae anahisi kama ninapokea pesa na kumficha..
Tafadhali nimeandika hapa kwa uchungu nikiwa sijui hatma yangu. Nisaidieni nisiingie majaribuni.
AHSANTENI kwa kuguswa.