Recent content by muttenyankwi

  1. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Familia ya Julius Mtatiro yapata misiba miwili kwa mpigo

    Mungu awape pumziko la milele!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yametimia, ndege ya ATCL, Dash8-Q400 angani

    Karibu nyumbani Tz
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kikeke ambana Maalim Seif

    Mkuu hapo umenena! Nimepata mashaka makubwa ya taaluma ya Kikeke niliyemwamini kwa muda mrefu!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Kwa wanawake wanavyopenda kusifiwa sidhani kama hili ni suluhisho kwani wengi wao hawatakubali kupitwa na wanawake wenzao hovyo hovyo barabarani. Mimi naona sheria zitiliwe mkazo na adhabu kali zitolewe kwa makampuni na madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

    Hiyo kitu imenitokea pia. Ninachokiona ni kwamba tunatakiwa kulipia hamna tena free local channels kama walivyotuaminisha awali!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali imlipe DC aliyetenguliwa

    Hii ni zaidi ya psychological torture. Uzembe na namna hii ni hatari sana kwa nchi!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wolper anusurika Kupigwa Risasi Kituo cha Mafuta

    Naomba kufahamu iwapo mafuta hamna kwenye kisima kama pump inaweza kuwashwa na mtu akafanya kama amekuuzia mafuta kumbe umelipia hewa maana inawezekana kutokujua kwangu nimeshalizwa sana. Zaidi sana nitajuaje kama mafuta hamna kwenye kisima ili nisiingizwe mkenge? Asante!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maelekezo: Jinsi ya kupanda na kushuka kwenye basi la Mwendo kasi (DART)

    Thanks for the useful guidelines!
  9. M

    JamiiForums Tanzania ''Imani Kali'' inaitia ndoa/familia yangu majaribuni

    Tutasema mengi sana lakini ukweli utabaki kwamba"Everything in excess is harmful" kaka adhama yako inanikumbusha kuna dada yangu na mumewe walidiriki kutoa kiwanja na gari yao ya kutembelea wakampa mchungaji wao na wao wakabaki bila kitu achilia kudorora kwa shughuli zao za uzalishaji mali...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza viwango vya tozo kwa watumiaji wa Daraja la Nyerere

    Vipi abiria wanaokuwa kwenye magari, nao watapaswa kulipa? Narejea utaratibu wa pale ferry kukiwa na watu wengine ndani ya gari zaidi ya dereva wanashushwa wapitie getini na kulipia!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumzia Umeya wa jiji la Dar

    Well said! Big up Dr. JPM
  12. M

    JamiiForums Tanzania CWT yapinga walimu kusafiri bure

    Hii ni kutafuta kick ya kisiasa kwa mheshimiwa, kama suala ni kusaidia walimu kwenye usafiri kwa nn asitoe transport allowance kwa walimu ambayo haiwezi kuzidi 30000 kwa mwezi kwa kila mwalimu kuliko usumbufu huu anaotaka kuuleta kati ya mwalimu na konda wa daladala.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wapeni magari vijana waendeshe!

    Ni ukweli mtupu!
Back
Top Bottom