BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Kuna wazazi wetu ambao umri umeenda
(senior citizen) wanamiliki vyonbo vya usafiri,wanaendelea kuvitumia wao wenyewe bila msaada wa madereva.
Hawa zamani walikuwa ni madereva mahili na makini,lakini miaka imepita
mazingira ya uendeshaji magari mijini ni tofauti na miaka yao,hata baadhi ya sheria zinazidi.kuboreshwa.ukiwa unaendesha gari mjini unatakiwa uwe sharp sana,akili za wazee wetu ni slow zimepungua ile sharpness kidogo.ukiwa unaendesha gari wa mbele yako haeleweki tatizo litakuwa dereva ni mwanamke au senior citizen.
Wazee kwa heshima na taadhima toeni ajira kwa vijana,endeshwa na kijana achana na hustle na stress za kusukuma gari ndani ya jiji! acha vijana wasumbuke pindi gari ikikorofisha.mzee vunja kishoka pembeni! soma Biblia/Kuluani yako.acha kujitesa.mpaka unaenda kaburini.si mnaona vibabu vizungu vinakuja kupumzika huku Afrika.