Mbunge wa Karagwe, Mheshimiwa G Blandes, amepata mpinzani katika kugombea kiti cha Karagwe. Mpinzani wake ambaye ni Mweka Hazina wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Karagwe, Karim Amil.
Karim Amil, ni mtoto wa Marehemu Amri Amil, ambaye alikuwa rafiki mkubwa wa Mheshimiwa Blandes. Uchaguzi wa...