Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,488
- 3,468
Kwani hawezi kujilipia jamani acheni mambo hayo.Who told you Zitto anajilipa mwenyewe?kwa taarifa yako halipi kwa fedha zake za mfukoni..
Huyu kijana ni mbunge kwa mshahara na marupurupu anweza kujilipia kwani amekuwa mbunge kwa kipindi ambapo inawezekana alikuwa anadunduliza visenti ili aweze kutimiza azma yake ya elimu [siyo kununua mashangingi kama wengine]
Tunastahili tumpe pongezi kwa kuweza kushughulikia kero za jimbo lake,taifa na wakati huohuo kujiendeleza kielimu.