Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,289
- 92,370
Ukijiuliza swali ni kwa nini TPP, TLP, UMD, CCK Hakuna migogoro ndio utapata jibu rahisi sana. kama Chadema inadhani CCM ipo tayari kukabidhi Madaraka softly basi ni kujidanganya bure, CCM sasa inaendesha siasa haramu na ni Do or die. Chadema ni lazima iwe Radical na isicheke kabisa na watu wa Aina ya Juliana.