Recent content by mutagaywa

  1. mutagaywa

    JamiiForums Tanzania Je umewahi kupigiwa simu kwa namba hii +255901761234?

    Mm napigiwaga nayo ukipokea unasikia mihito za nyimbo na mengine usubufu tu
  2. mutagaywa

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka niende Dubai kufanya kazi

    Mkuu the same to me mm nilipewa business card na gm mmoja hapa bogo lakin alikuwa ametoka dubui akasema ni.mcheki kupitia email yake nilijalibu ku.mtumia email hila ajibu hila hata mm nilikuwa na mawazo ya kwenda dubui
  3. mutagaywa

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Masanja "Mkandamizaji" Hebu uwe hofu ya Mungu

    Nasikia sasa hiv anakanisa lake huko kigambon
  4. mutagaywa

    JamiiForums Tanzania Ferouz: Inaniwia vigumu kuacha madawa ya kulevya

    Aisee jaman eee mwenyezi mungu nusu kizazi hiki nikimkubuka nado ndo huyu. Niliyokuwa namuona bba kweli uga usicheze nao dah
  5. mutagaywa

    JamiiForums Tanzania Bukoba vs Moshi

    Asante sana kwa majibu mazuri ajafika hata vijijin kuona location za uko Bk habar nyingine ww
  6. mutagaywa

    JamiiForums Tanzania IBTimes: Who is Maxence Melo arrested for not disclosing anonymous sources?

    Inasikitisha aisee
  7. mutagaywa

    JamiiForums Tanzania Hongera Magufuli, uteuzi wa Polepole CCM umezingatia kutokulimbikiza vyeo

    Aisee ongera sana mkuu
  8. mutagaywa

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tunashukuru mungu kwa ushindi wa Jana mungu ni mwema tutazid kubadilisha mfumo naona mmeisha anza kuleta shobo
  9. mutagaywa

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hata kama tunajivua kupotea kwa Ben, hili la Mashinji kugawa vyeti msituni linazua maswali

    Aisee mbona mnaaza kututia hofu jaman naomba kweli hili swala lifatiwe ili ijulikane chanzo cha haya ni nn
  10. mutagaywa

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Voice of America Usiku Huu... Suala la JF Kujadiliwa

    Aisee hii hatari
  11. mutagaywa

    JamiiForums Tanzania Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

    Mwenyezi mungu akutangulie ujifungue salama mma tifa
  12. mutagaywa

    JamiiForums Tanzania Hakuna haja ya kuwa na Bunge la bajeti

    Inasikitisha kweli aisee
  13. mutagaywa

    JamiiForums Tanzania Darassa hii sasa too much, Wimbo wa 'Muziki' umetikisa Bongo nzima

    Bado sana kupambanisha simba na huyu kijana nisawa na kujitekenya uku unacheka mwenyewe
Back
Top Bottom