Recent content by mussa2691

  1. mussa2691

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania tukiwa tunashangilia kusimamishwa maofisa TRA, Kenya wanafanya hivi...

    Hao kenya ndio wameiga huku kutumbua majipu na kwa taarifa yako kuna wale maafisa wa TRA nao wamesachiwa majumbani kwao wamekutwa na mabunda ya pesa takribani 200 mills, soma sana habari utaona mengi
  2. mussa2691

    JamiiForums Tanzania Thread nyingine zinaboa

    Na wewe kama inakuchosha husiendelee kuifatilia, of course ni kweli mara nyingine kuna thread zinaboa ila hauwezi kuanza kulimit mtu humu, hili ni jukwaa huru as long as wasitoke nje ya maadili... Kwa upande wangu nikiona thread michosho huwa naachana nayo!
  3. mussa2691

    JamiiForums Tanzania DPP amfutia mashtaka Prof. Lipumba na wenzake

    Acha ujinga ww jogi
  4. mussa2691

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    :y o: :yo:
  5. mussa2691

    JamiiForums Tanzania WARNING: Kuwa makini na threads zinazopotosha kuhusu Mungu na uweza wake

    Wewe unadhani kwann hawawezi? Nabii Issa (Yesu) aliweza kufufua... Elewa akili zetu zina ukomo wa kufikiri na ndio maana nikikuuliza hapa unanijua mm nipoje huwezi nijibu, sasa kuna vitu vingingine vitakua mbali na mwisho wa uwezo wetu wa kufikiri na utajipa majibu sio ya kweli huo ndio udhaif...
  6. mussa2691

    JamiiForums Tanzania WARNING: Kuwa makini na threads zinazopotosha kuhusu Mungu na uweza wake

    Ni kweli kunako chemical reactions zinazoendelea in the body of an organisms na hiyo inathibitisha yupo anazoziongoza, suppose gari lililotengenezwa na binadamu likiharibika (likifa) huweza kulitengeneza (kufufua), je kunako biologist anayeweza kufufua, kurudisha uzima, yaani kurudisha zile...
  7. mussa2691

    JamiiForums Tanzania Facebook wamefeli kuhusu tukio la Ufaransa

    Kweli kabisa mkuu, me ndio maana sijafanya kabisa kuweka france profile japo very sorry France, lakini pia Palestine, Syria pia wanauawa kila siku lakini hawajafanya kitu kama hicho hata siku moja
  8. mussa2691

    JamiiForums Tanzania Robert Mugabe: Raila Odinga akikanyaga Zimbabwe nitamkamata na kumhasi

    Mbona sijaona sehemu iliyoandikwa Magufuli mwizi wa kura?
  9. mussa2691

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    Na wewe hapo labda unashaurije?
  10. mussa2691

    JamiiForums Tanzania African Woman Brutally Assaulted for Speaking Swahili in America

    Huyo mwanamke anamatatizo sio mara yake kufanya matukio kama hayo
  11. mussa2691

    JamiiForums Tanzania Jinsi mabinti wanavyowakamata vijana kwa "voice call sexing, sexing by texting''

    Kweli mkuu sio poa kwasababu sasa ili waridhike si ndio watapiga nyeto
  12. mussa2691

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake hawapendani?

    God bless women!
  13. mussa2691

    JamiiForums Tanzania UKAWA wakiona huu uthibitisho watatokwa chozi

    Watu wamepanic
  14. mussa2691

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Hii sasa sio kawaida
Back
Top Bottom