Rafiki yake Magufuli ameteuliwa kuwa rais wa TZ
Hoax story
Kazi ya propaganda haikufai kabisa.Akiongea kwa jazba, kwenye sherehe za wanajeshi wake, rais mugabe amemwakia Raira Odinga kwa kuwasaidia mrafiki zake kuiba kura ili waingie madarakani, hii ameifanya Nigeria,Tanzania,Ivory coast na sasa anairatibu kazi hii Uganda kwa kumsaidia Besigye. Amesema Raira akienda Zimbabwe atamuhasi kende zake! Migabe hamunyi kabisaa!
Sasa yeye mbona ameshindwa kumuibia kura Uhuru Kenyatta? Mugabe with 7 and 2 masters Degree hawezi kuongea upuuzi huuAkiongea kwa jazba, kwenye sherehe za wanajeshi wake, rais mugabe amemwakia Raira Odinga kwa kuwasaidia mrafiki zake kuiba kura ili waingie madarakani, hii ameifanya Nigeria,Tanzania,Ivory coast na sasa anairatibu kazi hii Uganda kwa kumsaidia Besigye. Amesema Raira akienda Zimbabwe atamuhasi kende zake! Migabe hamunyi kabisaa!