Recent content by Music jnr

  1. Music jnr

    Narudia tena kukwambia Maalim Seif

    Lipumba akafanye kazi na Sakaya, Maalim Sefu sio mnafiki na hajawahi kuwa mnafiki, Mungu ambariki.
  2. Music jnr

    Kwa wale watakaofukuzwa kazi

    Neno la faraja, God bless u.
  3. Music jnr

    Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

    TV I wako live mapambano ya utanguliIizi now
  4. Music jnr

    Mida ya wanga

    Khaaa!
  5. Music jnr

    Pongezi

    Duh! Mungu ni mwema na azidi kujidhihirisha kwa miujiza. Hongera sana
  6. Music jnr

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Duh! Inchi inaongoza kwa watu wake kutokuwa na Furaha, sijui Amani mnaipataje, ni somo kubwa sana hili. Palipo na amani hapakosi upendo. Tusijidanganye
  7. Music jnr

    Prof. Haji Semboja umenishangaza

    Katika kipindi ambacho maprofesa na madokta hawatakisahau ktk maisha yao ni awamu hii maana heshima na hadhi zao zinashuka na kudharaulika kwa kasi. salama yao ni kusimamia kweli. No way out.
  8. Music jnr

    Rais Magufuli umeua biashara nchini makusudi na haupendwi kama unavyodhani

    Alafu siku hizi kwa nini aombi kuombewa kama zamani? au kanyooshwa baada ya kunyoosha nchi, mana mambo hayaendi sawa sawa kwa kweli.
  9. Music jnr

    Mhe. Rais Magufuli, usikubali Usalama wa Taifa kudhalilika

    Simple and clear msg, tuombe neno sipangiwi lisipewe nafasi.
  10. Music jnr

    Hongera Rais Magufuli kwa kuzima jaribio la kuitikisa Serikali yako

    Kuna watu wana andika post za kise......? Wapoooo in true boy voice
  11. Music jnr

    Polisi waisoma namba; TANESCO wakata umeme kwenye maghorofa ya Polisi Kurasini

    Ni maneno mawili tu yaani Ka na Ta nasema kata.
  12. Music jnr

    Ili taifa liendelee, linahitaji kiongozi mwenye msimamo, Rais Magufuli katupa somo

    Tuzidishe maombi jamani la sivyo nchi inaelekea kumshinda Mkuu, bila maombi viatu alivyovaa MKUU vitampwaya.
  13. Music jnr

    Rais Magufuli akiamua kuwa Rais wa maisha kuna wa kumzuia?

    Dah! Mungu tusaidie tumshinde shetani, hata yesu alijaribiwa
Back
Top Bottom