Narudia tena kukwambia Maalim Seif

Narudia tena kukwambia Maalim Seif

Kitendo cha kujiuzulu kwake BW lipumba kunamuondolea kabisa hadhi.
Kitendo chake cha kungangania madarakani Ni kujidhalilisha kwa hali ya juu
 
Maalim Seif alichemka sana kukubali yale matokeo 2010,pale ndio alijimaliza kisiasa now hana jipya hasa kwa ile speech aliyoitoa Mukulu wakati kaenda Zanzibar
 
Embu wape elimu hao maana kiukweli chadema imepoteza sifa na Sera mm nikija na watanzania nilikuwa navutiwa na Sera za upinzani naninaimani upinzani umesaidia mambo mengi katika jamii yetu tatizo kubwa xana limeikumba siasa za Tanzania ni tamaa ya pesa na madaraka ukiwa na pesa utawaaminisha xana watanzania kwamba flani nifisadi kiukweli mm niseme ukweli tangu nipo shule ya msingi nasikia vyama vya upinzani vikipiga kelele kuhusu ufisadi wa lowasa hadi Leo hii hakuna juhudi walizochukuwa upinzani kumuwajibisha mkuu wa Richmond ambaye walimnadi kwenye mikutano yao yauchaguzi kuwa nifisadi pia najiuliza kwann fisadi anakuwa msafi? Pia anae msafisha MTU ni mikutano au mahakama? Pia nijuhudi zip mlichukiwa chadema au vyama vya upinzani kumuwajibisha lowasa kwa ufisadi wake ? Pia mlitumia kivigezo VIP kumteuwa fisadi kuwa mgombea wa nchi hii sheria ya kumsagisha mliitowa wapi? Pia mtoto wangu akikuwa unataka majibu kwamba matusi na vijembe mliyokuwa mnasema lowasa ni fisadi mbona hamwiti tena? Mtoto wangu Ramsey anamata mumu wajibishe lowasa na wenzake mlio wahi kuwa tuhumu nimafisadi nasiyo kuwaita watu wasaliti wakiwa wanasimamia haki ya taifa La Tanzania hii nchi ni yetu sote naipenda na nitaipenda nchi yangu hadi mwisho wa uhai wangu naamin upinzani tutashika dola
i PtQUOTE="Wenger, post: 20960269, member: 31101"]Lipumba msaliti Malim Seif upo sahihi[/QUOTE]
Msalit unamfahamu acha mambo ya mkumbo
Maalim seif msaliti na si lipumba. Msaliti kwa sababu alimkubali Edo wakati wametumia nguvu nyingi kutuambia Edo ni mwizi na yeye akiwemo. Msaliti ni nani kati yao? Anaesimamia ukweli kuwa simuungi mkono huyu maana tulimsema hadharani ni mwizi au anaepokea mwizi na kulazimika kumsafisha?
 
Lipumba must go, kwa sababu hana jipya ndani ya CUF zaidi ya kuwa kibaraka wa ccm ambaye hataki kuona upinzani unakua,
Anadai UKAWA agenda ilikuwa kwenye katiba tuu, wakati walikubaliana waongeze nguvu ili ikibidi waiondoe ccm madarakani, anakiri kwamba walikaa yeye, dr slaa na nccr wakampitisha slaa agombee urais, akae pembeni anapoteza muda
Lipumba hana watu, mnaomuona nao ni mamluki tena wengi wanatoka ccm, na wachache ni Cuf tumbo ndio wanaompa jeuri. Hakubaliki kabisa.
 
Lipumba akafanye kazi na Sakaya, Maalim Sefu sio mnafiki na hajawahi kuwa mnafiki, Mungu ambariki.
 
Mgogoro uliopo ndani ya Cuf ni mkubwa sana.
Maalim Seif unaushawishi mkubwa ndani ya Cuf, pia fahamu kwamba Lipumba nae anaushawishi mkubwa tu kama ulivyo wewe.

Habari ya mashabiki ndani ya mitandao ya kijamii si suluhu ya kumaliza mgogoro huu.

Umesikika ukisema ni Bora uzungumze na CCM, lakini si Lipumba. Mimi nasema hapana.

Mgogoro huu Utamalizwa kwa wewe na Lipumba kukaa mezani na kujadiliana Nini kifanyike ili muendelee na ujenzi wa Chama chenu.
Shirikisheni wanataaluma mbalimbali wa masuala ya kisiasa, kisheria, kijamii na kitamaduni katika maridhiano yenu.

Wapambe walio nyuma yenu si wema hata kidogo.
Msipo kubali kukaa na kuyamaliza kwa majadiliano hakika hata patikana mshindi. Matokeo yake mnaiua CUF kwa mikono yenu wenyewe.

Mmeijenga kwa jasho na Damu nyingi za wanachama wenu lakini haya hamkumbuki hata kidogo kwa kua kuna misukumo nyuma yenu isio salama.

Namalizia kwa kusema kwamba mchawi wa CUF ni wewe Maalim Seif na Lipumba.
Mtasingizia kila kundi, kila Raia.

Kubalini kukaa mezani na kuyamaliza.
Uhusiano wa maalim na lipumba uliharibika toka zimwi lowassa lianze kuingilia mambo ya cuf....
 
Mimi naongezea tena...
Japo wengi hatuipendi ccm, ila tatizo la cuf ya sasa si ccm ni lowassa!!

Lipumba na maalim wamekua pamoja miaka yote, japo ccm ilikuepo.

Huyu mmasai na pesa zake amekuja kuharibu upinzani wa Tanzania
 
Lipumba akafanye kazi na Sakaya, Maalim Sefu sio mnafiki na hajawahi kuwa mnafiki, Mungu ambariki.
Alipoiba ule waraka wa kupinga muungano wa jumbe akasababisha jumbe akae kizuizini maisha yake yote,
Huo tuite unafki au usaliti?

Mitanzania mijinga sana, inaendeshwa na hisia..
 
Mgogoro uliopo ndani ya Cuf ni mkubwa sana.
Maalim Seif unaushawishi mkubwa ndani ya Cuf, pia fahamu kwamba Lipumba nae anaushawishi mkubwa tu kama ulivyo wewe.

Habari ya mashabiki ndani ya mitandao ya kijamii si suluhu ya kumaliza mgogoro huu.

Umesikika ukisema ni Bora uzungumze na CCM, lakini si Lipumba. Mimi nasema hapana.

Mgogoro huu Utamalizwa kwa wewe na Lipumba kukaa mezani na kujadiliana Nini kifanyike ili muendelee na ujenzi wa Chama chenu.
Shirikisheni wanataaluma mbalimbali wa masuala ya kisiasa, kisheria, kijamii na kitamaduni katika maridhiano yenu.

Wapambe walio nyuma yenu si wema hata kidogo.
Msipo kubali kukaa na kuyamaliza kwa majadiliano hakika hata patikana mshindi. Matokeo yake mnaiua CUF kwa mikono yenu wenyewe.

Mmeijenga kwa jasho na Damu nyingi za wanachama wenu lakini haya hamkumbuki hata kidogo kwa kua kuna misukumo nyuma yenu isio salama.

Namalizia kwa kusema kwamba mchawi wa CUF ni wewe Maalim Seif na Lipumba.
Mtasingizia kila kundi, kila Raia.

Kubalini kukaa mezani na kuyamaliza.
Lipumba aliishafukuzwa uanachama wa CUF na kikao halali baada ya kutumia mungiki kufanya vurugu ikiwemo kuvamia makao makuu ya chama. Sasa Maalim Seif hawezi kukaa na Lipumba kutafuta suluhu. Kwa kuwa suala hilo liko mahakamani liachwe limalizikie huko. Lipumba anajua kuwa sio mwanachama wa CUF kwa sasa, lakini anatumia mbinu za kuwa win watu kama nyie ili aendelee kuonekana kuwa bado ni mwanachama na kiongozi wa CUF!
 
Mgogoro uliopo ndani ya Cuf ni mkubwa sana.
Maalim Seif unaushawishi mkubwa ndani ya Cuf, pia fahamu kwamba Lipumba nae anaushawishi mkubwa tu kama ulivyo wewe.

Habari ya mashabiki ndani ya mitandao ya kijamii si suluhu ya kumaliza mgogoro huu.

Umesikika ukisema ni Bora uzungumze na CCM, lakini si Lipumba. Mimi nasema hapana.

Mgogoro huu Utamalizwa kwa wewe na Lipumba kukaa mezani na kujadiliana Nini kifanyike ili muendelee na ujenzi wa Chama chenu.
Shirikisheni wanataaluma mbalimbali wa masuala ya kisiasa, kisheria, kijamii na kitamaduni katika maridhiano yenu.

Wapambe walio nyuma yenu si wema hata kidogo.
Msipo kubali kukaa na kuyamaliza kwa majadiliano hakika hata patikana mshindi. Matokeo yake mnaiua CUF kwa mikono yenu wenyewe.

Mmeijenga kwa jasho na Damu nyingi za wanachama wenu lakini haya hamkumbuki hata kidogo kwa kua kuna misukumo nyuma yenu isio salama.

Namalizia kwa kusema kwamba mchawi wa CUF ni wewe Maalim Seif na Lipumba.
Mtasingizia kila kundi, kila Raia.

Kubalini kukaa mezani na kuyamaliza.
acha kupotosha wewe lipumba amepandikizwa na ccm ili aivunje CUF kila mtu anaju hilo. mmeona lipumba anaelekea kushindwa na mpango wenu haramu ndo mnakuja na ngonjera zenu za kipuuzi
 
Mgogoro uliopo ndani ya Cuf ni mkubwa sana.
Maalim Seif unaushawishi mkubwa ndani ya Cuf, pia fahamu kwamba Lipumba nae anaushawishi mkubwa tu kama ulivyo wewe.

Habari ya mashabiki ndani ya mitandao ya kijamii si suluhu ya kumaliza mgogoro huu.

Umesikika ukisema ni Bora uzungumze na CCM, lakini si Lipumba. Mimi nasema hapana.

Mgogoro huu Utamalizwa kwa wewe na Lipumba kukaa mezani na kujadiliana Nini kifanyike ili muendelee na ujenzi wa Chama chenu.
Shirikisheni wanataaluma mbalimbali wa masuala ya kisiasa, kisheria, kijamii na kitamaduni katika maridhiano yenu.

Wapambe walio nyuma yenu si wema hata kidogo.
Msipo kubali kukaa na kuyamaliza kwa majadiliano hakika hata patikana mshindi. Matokeo yake mnaiua CUF kwa mikono yenu wenyewe.

Mmeijenga kwa jasho na Damu nyingi za wanachama wenu lakini haya hamkumbuki hata kidogo kwa kua kuna misukumo nyuma yenu isio salama.

Namalizia kwa kusema kwamba mchawi wa CUF ni wewe Maalim Seif na Lipumba.
Mtasingizia kila kundi, kila Raia.

Kubalini kukaa mezani na kuyamaliza.
NI UJINGA KUONA CCM NI BORA KULIKO LIPUMBA.
MAALIM ANGEKUWA NA HEKIMA AKAE NA LIPUMBA WANGEMALIZA HUU MGOGORO.

NI MPUUZI TU NDIYE ATAKAYEAMINI BORA YA CCM KULIKO LIPUMBA.
 
Utakuja kumbuka baadae sana maoni yangu.
Kwa sasa umejaa jaziba
 
Mgogoro uliopo ndani ya Cuf ni mkubwa sana.
Maalim Seif unaushawishi mkubwa ndani ya Cuf, pia fahamu kwamba Lipumba nae anaushawishi mkubwa tu kama ulivyo wewe.

Habari ya mashabiki ndani ya mitandao ya kijamii si suluhu ya kumaliza mgogoro huu.

Umesikika ukisema ni Bora uzungumze na CCM, lakini si Lipumba. Mimi nasema hapana.

Mgogoro huu Utamalizwa kwa wewe na Lipumba kukaa mezani na kujadiliana Nini kifanyike ili muendelee na ujenzi wa Chama chenu.
Shirikisheni wanataaluma mbalimbali wa masuala ya kisiasa, kisheria, kijamii na kitamaduni katika maridhiano yenu.

Wapambe walio nyuma yenu si wema hata kidogo.
Msipo kubali kukaa na kuyamaliza kwa majadiliano hakika hata patikana mshindi. Matokeo yake mnaiua CUF kwa mikono yenu wenyewe.

Mmeijenga kwa jasho na Damu nyingi za wanachama wenu lakini haya hamkumbuki hata kidogo kwa kua kuna misukumo nyuma yenu isio salama.

Namalizia kwa kusema kwamba mchawi wa CUF ni wewe Maalim Seif na Lipumba.
Mtasingizia kila kundi, kila Raia.

Kubalini kukaa mezani na kuyamaliza.
Nonsense. Maalimu Seif aongee na mtu ambaye si mwanachama? Sijawahi kusikia ushauri wa namna hii tangu nizaliwe mwaka 1955 except hapa bongo tu. Na hii inadhihirisha uwezo wetu wa kufikiri ulivyo finyu hapa bongo
 
Mdharau mwiba........
Nafikir kuna neema unaipata Kwa kuwepo mgogoro huu. Sio bure
 
Lipumba ni msaliti, hana msimamo kwa yale anayoyasema, ni wa kupuuzwa tu
 
Namwambia Maalim Seif kwa kua hataki kukaa mezani na Lipumba.
Rejea clouds 360.
Lipumba yupo tayar kufanya kazi na Maalim Seif
Wakae mezani kuzungumzia nini? Usiwe na ushauri wa bashi style. Kama huyo mtu wako anajiamini ni kiongozi mwenye ushawishi kwa nini asimwambie swaiba wake amsaidie kujadiliana chama chake?
 
Mgogoro uliopo ndani ya Cuf ni mkubwa sana.
Maalim Seif unaushawishi mkubwa ndani ya Cuf, pia fahamu kwamba Lipumba nae anaushawishi mkubwa tu kama ulivyo wewe.

Habari ya mashabiki ndani ya mitandao ya kijamii si suluhu ya kumaliza mgogoro huu.

Umesikika ukisema ni Bora uzungumze na CCM, lakini si Lipumba. Mimi nasema hapana.

Mgogoro huu Utamalizwa kwa wewe na Lipumba kukaa mezani na kujadiliana Nini kifanyike ili muendelee na ujenzi wa Chama chenu.
Shirikisheni wanataaluma mbalimbali wa masuala ya kisiasa, kisheria, kijamii na kitamaduni katika maridhiano yenu.

Wapambe walio nyuma yenu si wema hata kidogo.
Msipo kubali kukaa na kuyamaliza kwa majadiliano hakika hata patikana mshindi. Matokeo yake mnaiua CUF kwa mikono yenu wenyewe.

Mmeijenga kwa jasho na Damu nyingi za wanachama wenu lakini haya hamkumbuki hata kidogo kwa kua kuna misukumo nyuma yenu isio salama.

Namalizia kwa kusema kwamba mchawi wa CUF ni wewe Maalim Seif na Lipumba.
Mtasingizia kila kundi, kila Raia.

Kubalini kukaa mezani na kuyamaliza.

Lipumba angekuwa ana ushawishi,uchaguzi uliopita CUF ingepata hata madiwani watatu,sasa hawajaambulia hata mmoja.Akiwa hayupo wamepata wabunge na madiwani,akiwepo wamepoteza mpaka kata yao wenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom