Hongera Rais Magufuli kwa kuzima jaribio la kuitikisa Serikali yako

Wadau, amani iwe kwenu.

Wabaya wa Serikali ya awamu ya Tano walijipanga kuhakikisha Serikali inatikiswa na nchi inayumba. Wabaya hao walipata nguvu zaidi baada ya kuungana na wafanyabiashara ya madawa ya kulevya sambamba na watorosha madini nje ya nchi. Walihakikisha kuwa wanawarubuni baadhi ya watu muhimu wa Serikali waliowaona wanawaunga mkono. Aidha, walihakikisha kuwa Bunge linatumika kuhalalisha mipango yao ovu.

Thanks God. Hali kwa sasa imetulia. Uimara wa Rais Magufuli ndio ulioleta utulivu. Kasimama kama Mkuu wa Nchi kukataa kuchezewa masharubu.

Kwaa jinsi alivyoidhibiti hali hii sidhani kama kutakuwa na jaribio jingine. Nchi inasonga mbele na Tanzania yenye neema yaja.
Mwanaume mzima unakaa unamwambia mwenzio hongeraa ndo Tz hii mipasho mingi sana
 
We Bashite bajeti ya maendeleo 16/17 trillion 12 zilizo tolewa mpaka leo trillion 4 .
Nchi imekwama kwenye tope zito
Mwakani kwa hali hii hakutakuwepo
Ajira mpya
Nyongeza za mishahara
Kukwama miradi yote ya maendeleo
Hali ya biashara kuzorota zaidi
Soko la hisa kufa
Hali ya uchumi mtu mmoja mmoja kuwa mbaya zaidi
Reli na mapangaboi anayoya shabikia Magu havitasaidia kuboresha hali ya maisha ya waliowengi
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Wabaya wa Serikali ya awamu ya Tano walijipanga kuhakikisha Serikali inatikiswa na nchi inayumba. Wabaya hao walipata nguvu zaidi baada ya kuungana na wafanyabiashara ya madawa ya kulevya sambamba na watorosha madini nje ya nchi. Walihakikisha kuwa wanawarubuni baadhi ya watu muhimu wa Serikali waliowaona wanawaunga mkono. Aidha, walihakikisha kuwa Bunge linatumika kuhalalisha mipango yao ovu.

Thanks God. Hali kwa sasa imetulia. Uimara wa Rais Magufuli ndio ulioleta utulivu. Kasimama kama Mkuu wa Nchi kukataa kuchezewa masharubu.

Kwaa jinsi alivyoidhibiti hali hii sidhani kama kutakuwa na jaribio jingine. Nchi inasonga mbele na Tanzania yenye neema yaja.
Bado huwaga mnamsikiliza huyu kichaa ashafumuliwa malinda na lemutuz Kama bashite alivyo fumuliwa na ngosha
 
Wewe simbilisi naomba unijibu maswali haya;
1.Milioni 50 za kila kijiji/mtaa ziko wapi?
2.Kati ya 29 trilions alizokuwa anazinadi kwenye vyombo vya habari, mpaka sasa bado miezi 3 kumaliza mwaka wa fedha je, unajua kaikusanya asilimia ngapi?
3.40% ya bajeti aliyokuwa akijinadi kila alipopewa nafasi ya kuzungumza ya maendeleo imeshafika kwenye halmashauri yenu?
4.Umewahi kwenda kwenye hospitali ya serikali yoyote na ukaandikiwa dawa zaidi ya mbili na ukazipata zote papo hapo zote bila kuambiwa ukanunue kwenye duka la madawa?
5.Tangu uanze kusikia kuwa pesa zinaokolewa maeneo mbalimbali unajua jumla yake na zimekwenda wapi?
6.Unaijua sababu ya kutokuwaongezea watumishi mishahara na kusimamishiwa stahiki zao nyingi?
7.Huu mfumuko wa bei nchini unauelezeaje?.
Wewe si ndiye wa kwanza kulalamika ukipigwa bei kubwa madukani?
Hivi nani kawaroga ninyi watu?
 
Hakuna kama Dr Magufuli kawa nyamazisha kimya wapiga dili wote mujini na harakati za kina mange, Gwajima, Clouz etal katika mitandao. Not in that extent wakanyweaaaaaaaaaaaaaaaa kweli Magufuli akiwa mubashara hata kwa dk 5 anatetemesha nchi kwa maneno na hutuba dhabiti.
Mbona Bashite Daudi Albert ndie mpiga deal namba moja, kila zama na mambo yake
 
ktk mwaka wa fedha 2016/2017 n tilion 3 na ushee sawa na 34% zmepelekwa kwenye mirad ya maendeleo baada ya tilion 11 na ushee sawa na 66% zilizopangwa na bunge kwa mujbu wa dk. mpango bungen. uku mnaendelea kupongezana kwa mambo ya aknda bashte nk. uchum unayumba kabsa ripot ya IMF mmeiona jaman, mshaurn uyo mzee nch inapotea
 
Na viombo via habari vilitekwa kusaidia kuidondosha serikali lakini wamechemsha,na mtandao was jf pia ulijitahidi mpaka sasa 0=0
 
Hadi Februari mwaka huu, fedha za maendeleo zilizokuwa zimetolewa na serikali ni TZS 3.97tril kati ya 11.8tril zilizopitishwa na Bunge.
Je miradi ya Maendeleo imetekelezwa kwa kiasi gani? wataalam wa uchumi tupeni majibu tafadhali!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Wabaya wa Serikali ya awamu ya Tano walijipanga kuhakikisha Serikali inatikiswa na nchi inayumba. Wabaya hao walipata nguvu zaidi baada ya kuungana na wafanyabiashara ya madawa ya kulevya sambamba na watorosha madini nje ya nchi. Walihakikisha kuwa wanawarubuni baadhi ya watu muhimu wa Serikali waliowaona wanawaunga mkono. Aidha, walihakikisha kuwa Bunge linatumika kuhalalisha mipango yao ovu.

Thanks God. Hali kwa sasa imetulia. Uimara wa Rais Magufuli ndio ulioleta utulivu. Kasimama kama Mkuu wa Nchi kukataa kuchezewa masharubu.

Kwaa jinsi alivyoidhibiti hali hii sidhani kama kutakuwa na jaribio jingine. Nchi inasonga mbele na Tanzania yenye neema yaja.
Hongera unajua sana ku summarize ila unaoneka unajua wazi kua unapokua mgonjwa Mara kwa mara sio tu mazingira au maabukizi yanakufuatafuata sana pengine mwili wako unaudhaifu fulani na kuruhusu kuathirika. Don't draw conclusions basing on one side judgement
 
Nani kama Magufuli katika Bara la Afrika kwa sasa?
Bila shaka hakuna. Huyu ndiye Rais ninayemkubali kwa kiwango cha kimataifa.
Naomba Mungu amlinde na kumpa nguvu na afya ili aendelee kuwatumikia Watanzania.
 
Lizaboni kama kawauda yake... Katumwa kupima upepo..
But one thing I know... Tunatakiwa kuwa wakimya when they are making grand mistakes ili baadaye tuwapige vizuri..!
[HASHTAG]#ReportsUnderMagufuliEra[/HASHTAG]
 
Lizaboni andika taarifa zenye uhakika achana na umbea wa kike uliozoea, kumbuka hii ni issue ambayo ni very sensitive inaweza kukuweka ktk matatizo au ukawaweka watu ktk matatizo ambayo yanatokana na umbea wako.
 
Inahitaji kiongozi Imara na Shupavu na mwenye msimamo Kama JPM.
Kamwe hamuwezi kupambana na vita ya wauza madawa, wa kwepa kodi,wapiga dili,mafisadi,watumishi hewa, wahujumu uchumi n.k halafu kusiwepo na msukosuko lazima,. Ujasiri pekee wa Amiri jeshi mkuu ndio utafanikisha mapambano.kamwe tusirudi nyuma!!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Wabaya wa Serikali ya awamu ya Tano walijipanga kuhakikisha Serikali inatikiswa na nchi inayumba. Wabaya hao walipata nguvu zaidi baada ya kuungana na wafanyabiashara ya madawa ya kulevya sambamba na watorosha madini nje ya nchi. Walihakikisha kuwa wanawarubuni baadhi ya watu muhimu wa Serikali waliowaona wanawaunga mkono. Aidha, walihakikisha kuwa Bunge linatumika kuhalalisha mipango yao ovu.

Thanks God. Hali kwa sasa imetulia. Uimara wa Rais Magufuli ndio ulioleta utulivu. Kasimama kama Mkuu wa Nchi kukataa kuchezewa masharubu.

Kwaa jinsi alivyoidhibiti hali hii sidhani kama kutakuwa na jaribio jingine. Nchi inasonga mbele na Tanzania yenye neema yaja.
Wanzania hata hawajui kama serikali ilitaka kuangushwa au kutikiswa. Matamanio yao ni maisha kuwa bora zaidi kwa kuwa na uhakika wa milo mitatu. Kwa sasa mengine ni siasa,hata kama serikali ikitikiswa kama watanzania wataweza kupata milo mitatu na amani sidhani kama watahangaika na hilo.
kama serikali haitatikiswa au iwe imara na watanzania wasiwe na uhakika hata wa mlo mmoja inawasaidia nini?
Najua jibu linaweza kuwa rahisi sana kuwa "Kwani serikali inagawa chakula...."
 
Na hii ni theluthi moja tu ya hiyo total amount..
Na bado miezi mi 4 mwaka wa fedha uishe..
Aibu kubwa Lizaboni.
Nyie si ndio mlikuwa mnasema hela za maendeleo ni nyingi sana. Mkafikia mpaka kusema rais anajisahau kwa kujiona kama bado yupo kweny wizara ya ujenzi. Mungu hamfichi mnafki.
 
mpaka sasa nchi imeingizwa kwenye korongo mmeshindwa kuiongoza serikali,
mawaziri wamekoseshwa confidence alafu leo mnakuja na story za kujifariji.
acha hizo confidence unayotaka ndio iliyowafanya mawaziri wa serikali iliyopita kuwa mafisadi,
 
Wanzania hata hawajui kama serikali ilitaka kuangushwa au kutikiswa. Matamanio yao ni maisha kuwa bora zaidi kwa kuwa na uhakika wa milo mitatu. Kwa sasa mengine ni siasa,hata kama serikali ikitikiswa kama watanzania wataweza kupata milo mitatu na amani sidhani kama watahangaika na hilo.
kama serikali haitatikiswa au iwe imara na watanzania wasiwe na uhakika hata wa mlo mmoja inawasaidia nini?
Najua jibu linaweza kuwa rahisi sana kuwa "Kwani serikali inagawa chakula...."
Mtanzani hata akipewa milo kumi kwa siku, tena bure bado ataongea sheet. Mfano mzuri elimu bure. Sasa wanasema elimu mbovu ndo maana bure.
 
Back
Top Bottom