Ilankunda1234
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 4,842
- 4,777
Aendelee kuvamia ofisi za watu si ndioUnafikiri bunge litatoa nini kipya ambacho akijasemwa mitandaoni? Rais kaonesha msisitizo kuwa huu ujinga haupi nafasi na kumwambia Mh Makonda chapa kazi na yeye hapangiwi cha kufanya. Wabunge kama wanataka kuaibika waendelee.