Recent content by Musaru

  1. M

    Maswali ya interview ya Utumishi huwa yanatungwa kwa namna ipi?

    Soma na uelewe job description vizuri. Yote yanatoka hapo kwenye job description. Usinisahau utakapoketi kula asali na maziwa.
  2. M

    Nimepata mfadhili wa mradi mmoja mkubwa unaoweza kugharimu Tsh billioni 116. Ni mradi gani unaweza kugharimu hizo pesa?

    Sina Cha kusema zaidi nikutakie Kila la kheri katika proposal utakayoona Iko valuable and marketable
  3. M

    Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Hii ni story kama story zingine
  4. M

    Nimechoka kufuatwa pm na wanawake wa JamiiForums

    Dunia inakimbia sana,acha nature ifanye kazi yake.
  5. M

    Usidanganywe kitoto, private kunalipa kuliko Serikalini

    Job security ni pamoja na malipo mazuri ukiwa unaendelea na kazi. Binafsi kama malipo ni madogo sioni maana yoyote na kusema eti Kuna usalama wa ajira.
  6. M

    Mke wangu kaona picha za utupu nilizokuwa natumiana na mwanamke mwingine

    Mwana kulitafuta mwana kulipata , ndoa sio maigizo. Huwa nawaambia watu stay truthfulness kwenye ndoa yako na Wala usiwe na mawazo Hasi juu ya mwenza wako. Anyway muombe msamaha ila mmmmmh jiandae kuchapiwa,akili za wanawake wanazijua wenyewe.
  7. M

    Green Card Makulilo Lottery

    Hivi kwa Mfano ukishakuwa permanent resident wa nchi nyingine,unakosa vitu gani au unapungukiwa sifa zipi za ki raia?
  8. M

    Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

    Usichoke Wala kukata tamaa,hebu tafuta NGO inayohusiana na Environment issues ujitolee. Kama Kuna ugumu wa kupata nafasi ya kujitolea,hebu watafute alumni wenzako wenye ujuzi tofauti na kwako muanzishe na kusajili non profit or profit NGO,then muanze kaze. Karibu pm
  9. M

    Hizi ndizo top ten taasisi private sector zinazolipa vizuri

    Tafuta nafasi za kujitolea kwenye non governmental organization,utapata connection huko mbele ya safari
  10. M

    Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

    Natia kambi
  11. M

    JOB SCHEMES/ Muundo wa kiutumishi

    Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala bora
  12. M

    Project planning and management

    Sawa nashukuru sana ndugu.
  13. M

    Nimechaguliwa UDOM kozi ya BED-PYS naweza kuhamia Ardhi nikasome bachelor of science in Urban and regional plannin?

    Ingia ajiraportal ndio uje useme hakuna ajira,ajira zipo ila sio ki vileee
Back
Top Bottom