Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

Jipe ni ziwa ambalo lipo mkoani Kilimanjaro mpakani mwa Kenya na Tanzania huko wilayani Mwanga
images - 2022-11-03T125948.232.jpg
 
Hv UMUGHAKA matatiro alijifunza silaa saa ngapi ,je aliwai kutumia hapo kbla au kuna mahali mlienda kufundishwa ila hukueleza hapa ,, nauliza hvyo kwa sababu jipe anamuambia mtatiro ahakikishe risasi sinakuwa kwenye chemba muda wote ,je mtatiro anaelewa chemba vzr kweli au alikuwa anaitikia tu

Samahani lkn mkuu
 
Sikuona umuhimu wa kuwabeba Umughaka na Mtatiro,naona hii show ilikuwa inamtosha JIPE tu au waliwachukua ili wazalishe kizazi kingine cha ujambazi
Hapana walikuwa na umuhimu sana nani angemdhibiti kijana mwenye pesa(magige) na nani angefukua vigae Ili atoe lile burungutu la bosi? Na pia waliwekwa Ili waendelee kupata experience ya kuwa na moyo mgumu (ujambazi).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom