Usidanganywe kitoto, private kunalipa kuliko Serikalini

Twende mbele , turudi nyuma! Huwezi kuwa serikalini unasubiri mafao ya 200+Mil ukiwa kwenye umri wa miaka 55 hadi 60, na wakati huo wote wa kuitumikia serikali, unalipwa laki 9 hadi 1mil per month.

Private mtu ana mkataba wa miaka 3, Kwa mwezi anakinja 5mil, safari kibao, posho kibao, hakuna kukopwa hata kidogo.

Sasa bora wapi?

We need money now, we need to do things now, not at very late age.

Kwanza at late age, utakuwa unaona, utakuwa unatembea, utakuwa na nguvu za kuamka mapema na kufanya kazi?

Do it now.

Wazo tu hili.

Wewe unajua!! And you know what - this SONG was named one of the most SUCCESSFUL SONG from 2000 to 2009 on the BILLBOARD HOT 100 SONGS OF THE DECADE and TI's second NUMBER ONE [1] in the US 🇺🇲.. #KAPAFONAA #KING
 
La kuzingatia ni private sector ipi.Inalipaje?Utaalamu/umuhimu wako ni wa kiwango gani?Na utalipwa kiasi gani na kwa muda gani?Zingine magumashi tu.
 
Twende mbele , turudi nyuma! Huwezi kuwa serikalini unasubiri mafao ya 200+Mil ukiwa kwenye umri wa miaka 55 hadi 60, na wakati huo wote wa kuitumikia serikali, unalipwa laki 9 hadi 1mil per month.

Private mtu ana mkataba wa miaka 3, Kwa mwezi anakinja 5mil, safari kibao, posho kibao, hakuna kukopwa hata kidogo.

Sasa bora wapi?

We need money now, we need to do things now, not at very late age.

Kwanza at late age, utakuwa unaona, utakuwa unatembea, utakuwa na nguvu za kuamka mapema na kufanya kazi?

Do it now.

Wazo tu hili.
Kwan serikalini hakuna hizo safari na hela??nimefanya private na serikali,ila maisha numeanza kufaidi baada ya kuingia serikalin,kwanza hakuna kuabudiana kama miungu watu,private mnaabudiana sana,bosi akiuziwa na mkewe kesho anakutimua kazi,huku hakuna hat bosi wako mnatunishiana misuli,muamuzi utumishi au utahamiahwa kituo,
 
Twende mbele , turudi nyuma! Huwezi kuwa serikalini unasubiri mafao ya 200+Mil ukiwa kwenye umri wa miaka 55 hadi 60, na wakati huo wote wa kuitumikia serikali, unalipwa laki 9 hadi 1mil per month.

Private mtu ana mkataba wa miaka 3, Kwa mwezi anakinja 5mil, safari kibao, posho kibao, hakuna kukopwa hata kidogo.

Sasa bora wapi?

We need money now, we need to do things now, not at very late age.

Kwanza at late age, utakuwa unaona, utakuwa unatembea, utakuwa na nguvu za kuamka mapema na kufanya kazi?

Do it now.

Wazo tu hili.
Ni dhambi kumuamsha mjinga ( alielala ) utalipia dhambi hiyo kwa kulala mwenyewe
 
Twende mbele , turudi nyuma! Huwezi kuwa serikalini unasubiri mafao ya 200+Mil ukiwa kwenye umri wa miaka 55 hadi 60, na wakati huo wote wa kuitumikia serikali, unalipwa laki 9 hadi 1mil per month.

Private mtu ana mkataba wa miaka 3, Kwa mwezi anakinja 5mil, safari kibao, posho kibao, hakuna kukopwa hata kidogo.

Sasa bora wapi?

We need money now, we need to do things now, not at very late age.

Kwanza at late age, utakuwa unaona, utakuwa unatembea, utakuwa na nguvu za kuamka mapema na kufanya kazi?

Do it now.

Wazo tu hili.
Kwa akili yako izo private za kulipa wataalamu 5M unadhani ziko kama line za vodacom?

Izo ni fursa za expert wachache sana na sio kila anaefanya serikalini analipwa laki 9 kama ulivyoandika,Wengine wanaanza na 1.5M na deals zipo kibao tatizo lako umekuja kichwa kichwa
 
Ulivyoandika kwa mihemuko ni kama vile huko private zimetangazwa nafasi za ajira watu wakakataa kuomba kwa kigezo kuwa wanasubiri ajira za serikali.

Maana navyojua kuna watu wako serikalini wanatamani private sector na wengine wako private sector wanatamani serikalini.
 
Seeikalini maisha siyo mshahara,ni posho ambazo hazihojiwi popote,kwa mwez kukunua milion 4 na sfari ambazo huendi ni hambo la kawaida
Kwa wachache,hakuna Kazi za kawaida utapata posho mil.4 wewe..

Niletee hesabu z hizo posho kwa hesabu za Sasa za posho sh.220,000 hadi 250,000 kwa wanasiasa.
 
Twende mbele , turudi nyuma! Huwezi kuwa serikalini unasubiri mafao ya 200+Mil ukiwa kwenye umri wa miaka 55 hadi 60, na wakati huo wote wa kuitumikia serikali, unalipwa laki 9 hadi 1mil per month.

Private mtu ana mkataba wa miaka 3, Kwa mwezi anakinja 5mil, safari kibao, posho kibao, hakuna kukopwa hata kidogo.

Sasa bora wapi?

We need money now, we need to do things now, not at very late age.

Kwanza at late age, utakuwa unaona, utakuwa unatembea, utakuwa na nguvu za kuamka mapema na kufanya kazi?

Do it now.

Wazo tu hili.
Hilo wazo lako lina implication kubwa sana kwenye masuala ya fedha. Sio vibaya watu kufanya kazi serikarini, lakini tatizo ni thamani ya fedha leo na thamani ya fedha kesho (value for money)!

Kama ingewezekana, wangepewa nusu ya hela ya kustaafu wakiwa bado kazini na kiasi kinachobaki wapewe wanapostaafu. Kwa kufanya hivyo, wataanza kufanya investment mapema ili watakapokuja kustaafu, ile nusu ya fedha waliyopata itakuwa imezalisha.

Kuna msemo unasema "one bird in the hand worthies two in the bush", hii maana yake, shilingi moja utakayoipata leo ina thamani ya shilingi mbili za hapo kesho. Hivyo, ni bora wangeanza kuwekeza wakiwa bado makazini kuliko kusubiri mpaka wastaafu!

Kuna risks kama inflation, recession, nk, wakati kiasi anachodunduliza hakiongezeki, hii itafanya hata hiyo milioni 200 atakayopata baada ya kustaafu isiwe na maana.
 
Nimecheka sana private labda international NGo's ila hawa hapa Town pesa unalipwa kidogo ,you can be fired at anytime kisa cha kipumbavu ,Kuna undugu pili unawaku hujiamini .na private ndo wanakopa watu sio serikalini kuwa makini ....serikalini raha ukiona umechoka unaomba ty ruhusu unachukua sick sheet unakaa home siku tatu..private sio rafiki mfano kwa wanawake kipindi cha maternity leave lazima kampuni ikuchoke ..

Na hizo private zinazolipa 5mil.😂😂😂 Dah ni chache mno kwa kipind hiki cha uhaba wa ajira wanaamua wakulipe hata laki 8 ...ni kwamba private wengi ni wanyonyaji serikali unaweza kuingia kama fresh graduate ukiwa kipind cha probation ukapata allowance zote na mshahara ..sasa nenda private ukiwa probation unaweza kupewa hata robo ya mshahara wako😂😂😂na masimango kampuni ikiyumba tu umekwisha
 
Umenena vyema kabisa.

Ila kinachowafanya watu wang'ang'anie serikalini ni usalama wa ajira zao(job security).

#MaendeleoHayanaChama
Job security ni pamoja na malipo mazuri ukiwa unaendelea na kazi.
Binafsi kama malipo ni madogo sioni maana yoyote na kusema eti Kuna usalama wa ajira.
 
Back
Top Bottom