Recent content by musa abel jr

  1. musa abel jr

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa ajili ya jobless na watu wenye michongo ya pesa

    Uzi mkali sana mzee fanya kuniunga tupige kazi mzee namb yang hii 0718927103
  2. musa abel jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna pdf la lindi huko
  3. musa abel jr

    JamiiForums Tanzania Mliofanya usaili ajira za Afya tupeni update hali ilikuwaje

    Kesho pharm. Tech
  4. musa abel jr

    JamiiForums Tanzania Muza duka la dawa yupo hapa

    unahitaji kwa wapi mkuu mwenyew natafuta kazi nina diploma ya pharmacy
  5. musa abel jr

    JamiiForums Tanzania Ajira ya kukusanya anwani za makazi Shinyanga

    Habar za muda huu wana JF naomba kufahamu kuhusu uhalali wa tangazo hili kwa sababu ukiangalia tarehe ya tangazo ni 21/2/2022 wakati hii tarehe hata bado haijafika na kama ni halali vp kuhusu kufanikiwa kupata ajira hii ya muda
  6. musa abel jr

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi za kuuza nyumba

    njia rahisi nayo kushauri nenda bank kakope hiyo 5m then weka bond hiyo nyumba yako hakuna kulipa den watachukua wenyew na kuuza wanakusaidiaaaa
  7. musa abel jr

    JamiiForums Tanzania Kirusi kipya cha HIV chagundulika Uholanzi

    Nilifikili lbd ukiingiza inatoka na kutuu kumbe hivyo hata hawatutishiii ( kula ndizi na maganda hainogii)
  8. musa abel jr

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kufahamishana games nzuri kwa watumiaji wa android na iOS

    nahitaji kupata unlimited coins kwenye dream league soccer bila ku affect nilipofika mwenye kunisaidia hapo
  9. musa abel jr

    JamiiForums Tanzania Usiombe kukutana na Nsia Swai

    jmn mwenye contact za nsia swai chap.tufanye namna
  10. musa abel jr

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu jinsi ya kutoka nyumbani na kuanza maisha, Mimi mwenyewe nimeshindwa

    Thanks sana mkuu nimekupata vyema
  11. musa abel jr

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu jinsi ya kutoka nyumbani na kuanza maisha, Mimi mwenyewe nimeshindwa

    Habari nianze kwa kuwapa pole ya majukumu ya kila siku, Naombeni ushauri ndugu zangu mimi ni kijana nimemaliza chuo 2019 katika kada fulani ya afya na nikabahatika kufaulu na nimesomeshwa na kaka yangu, sasa baada ya kumaliza chuo nikarudi nyumbani na kuanza kutafuta ajira angalau nipate hela...
  12. musa abel jr

    JamiiForums Tanzania Kagera Sugar 1 - 0 Simba SC | Ligi kuu bara | Kaitaba

    Nahitaji kujua maisha ya simba baada ya kuiwa na wakulima wa miwa
  13. musa abel jr

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya kupeana michongo

    HABARI NINA DIPLOMA YA PHARMACY (PHARM TECH) NATAFUTA KAZI YA KUUZA PHARMACY, DLDM HATA DISPENSARY ASANTE 062256765 AU 0718927103
  14. musa abel jr

    JamiiForums Tanzania FT: Polisi Tanzania 0-1 Yanga SC | Ligi kuu Bara| Sheikh Amri Abeid

    goooooooooooooolllll
Back
Top Bottom