Recent content by Murando

  1. M

    Nina jinsia mbili. Je, nioe au niolewe?

    Kama unadinda ukiolewa utamtoa mumeo rinda wewe
  2. M

    Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Njaa inamsumbua kitu cha kufahamu unapoenda upinzani ujue kabisa Hawakusanyi Kodi hivyo hawana hela za kukupa wewe hivyo lazima uwe na kazi ya kujiingizia kipato, Uzalendo unapatikana upinzani maana watu wanajitoa bila malipo kukijenga chama
  3. M

    Eti ameniacha kisa kofi moja tu

    Sasa kaka ni kaka yake kwa nini akudanganye yuko nyumbani anapika wakati yuko bar
  4. M

    Brother ananishawishi nitembee na Mkewe kabisa wa Ndoa

    Sasa unapoteza muda kwa nini , tena Nakushauri utafute muda wa kumsaprise huyo shemejiyo umpe uzao maana utakuwa umemlinda nduguyo ila Fanya kama unaiba ndo itakuwa tamu.
  5. M

    SAUTI YA LISSU AKIUNGURUMA: Awashukuru Watanzania kwa kumuombea

    Mungu wa Mbingu asante kwa kujibu maombi yangu na maombi ya watanzania wengi, Kwa maombi tuliyopoga hata Waliompiga risasi Lisu wamejikuta wakimwombea apone ili waende kwake kumwomba msamaha
  6. M

    Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

    Hiyo posti ni ya kichochezi kwa wanachama lakini ukweli wake ni mchungu sana ila ina faida, Epuka Chaputa Acha kujibaka
  7. M

    Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

    Ni mpango wa Mungu wake hizo risasi kupigwa hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Tundu Lissu: Afande Sirro na Kipilimba, Vijana wa Toyota Premio namba T460CQV Mliowatuma kunifuatilia nimewakaba

    Nafikiri sasa wale waliodhani Lisu anaropoka wamejua kuwa Lisu alisema kweli kuhusu kufuatiliwa, Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Ni kitu gani kinapaswa kufanyika unapokosa uhamisho wa ugonjwa?

    Nenda Tamisemi na nyaraka zako utasaidiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Kwa yeyote mwenye shida ya sheria za kazi

    Nimenunua nyumba nyumba, aliyenuuzia alidai hati imepotea na badala yake akaileta hati ya kiapo ya mahakama kwamba hati nyumba imepotea, baada ya kuniuzia nyumba miezi mnne badae wkaja watu wa Benki na nyaraka zote kwamba nyumba ile iliwekwa bondi na wanataka kuiuza kwani mteja wao ametoroka na...
  11. M

    Wanawake hebu fungukeni hapa mnaangaliaga nini sana sana?

    They actually first look at your hydraulic press if it starts pushing at the time your highlitng your points Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Jana nimekutana na Mama mkweli nliyemrushia Meseji ya Mapenzi

    Pole mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Utakubali kwenda kupima DNA endapo itatolewa bure?

    Ni changamoto kwa wanawake Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    John Mnyika: Nimemtembelea Lissu asubuhi, yuko salama, ana amani na anatuasa tusikae kimya

    Huyo jamaa kama Nelson Mandela Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

    Duu, hata wewe uliye na wapenzi kama timu ya mpira yatakukuta mambo Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom