FUATILIA ATAKUWA YUKO NA HUYO NDG YAKEHabari wandugu, natumaini mko poa.
Mimi nina mpenzi wangu tumekuwa nae kwenye mahusiano huu ni mwezi wa tatu,sio siri huyu binti nampenda sana, nimejitahidi kumhudumia kadri niwezavyo kwa mda mfupi nilikuwa nae, kwa sababu nina nia ya kumuoa, sasa juzi nilikuwa na rafiki yangu tupo maeneo ya Sinza tukapita kwenye bar moja hivi ghafla nikamuona mpenzi wangu nae yupo mle ndani ya bar anakunywa kinywaji wakiwa wamekaa na mwanaume mmi simjui, ndipo nikaamua kumpigia simu mpenzi wangu nakumuuliza yuko wapi.
Akapokea simu nakunijibu yupo nyumbani kwao anapika na wakati minamuona yupo na kijeba wanakunywa vinywaji huku wanacheka, sio siri nilipatwa na hasira ndipo nikaamua kumtuma rafiki yangu akamuite ili niongee, aliponiona alishangaa na aliponisogelea tu sikumsemesha neno lolote nikampiga kofi moja la nguvu rafiki yangu akanishika mikono na watu wakajaa kidogo, nikaamua kuondoka na yule binti akawa amekipingia.
Sasa zimepita siku mbili yule binti nimempigia simu akapokea akaniambia yule alikuwa kaka yake mtoto wa baba yake mdogo na pia ameniambia mimi na yeye basi amesema hawezi kuishi na mtu kama mmi tena, nimejaribu kumuomba msamaha lakini wapi amekataa katakata.
Naombeni msaada wa mawazo jamani nifanyeje? Eti kofi moja tu linikoseshe mke jamani.
Mie mzima kabisa hofu kwako....Mutoto mpotevu! Mzima weye?
Mie mzima kabisa hofu kwako....
Ooooh too bad for us jamaniNiko poa kabisa namshukuru Mwenyezi Mungu. Naangalia mpira tumechapwa 2-0 yaani wanakimbia kimbia tu uwanjani wakati nafasi za wazi wanazipoteza. Tungeweza kuwa hata 2-2.
Mkuu kwa maoni yangu haupo serious kwanza kabisa hujakosea kumtia adabu maana kwanza kakudanganya kwamba yupo kwao anapika ilihali sio kweli pili ni kuwa huyo mwanaume lazima atakuwa mme mwenzako maana ingekuwa sivyo asingekudanganya huyo binti. Hivyo basi kwangu mimi ulikuwa sahihi kabisa.Habari wandugu, natumaini mko poa.
Mimi nina mpenzi wangu tumekuwa nae kwenye mahusiano huu ni mwezi wa tatu,sio siri huyu binti nampenda sana, nimejitahidi kumhudumia kadri niwezavyo kwa mda mfupi nilikuwa nae, kwa sababu nina nia ya kumuoa, sasa juzi nilikuwa na rafiki yangu tupo maeneo ya Sinza tukapita kwenye bar moja hivi ghafla nikamuona mpenzi wangu nae yupo mle ndani ya bar anakunywa kinywaji wakiwa wamekaa na mwanaume mmi simjui, ndipo nikaamua kumpigia simu mpenzi wangu nakumuuliza yuko wapi.
Akapokea simu nakunijibu yupo nyumbani kwao anapika na wakati minamuona yupo na kijeba wanakunywa vinywaji huku wanacheka, sio siri nilipatwa na hasira ndipo nikaamua kumtuma rafiki yangu akamuite ili niongee, aliponiona alishangaa na aliponisogelea tu sikumsemesha neno lolote nikampiga kofi moja la nguvu rafiki yangu akanishika mikono na watu wakajaa kidogo, nikaamua kuondoka na yule binti akawa amekipingia.
Sasa zimepita siku mbili yule binti nimempigia simu akapokea akaniambia yule alikuwa kaka yake mtoto wa baba yake mdogo na pia ameniambia mimi na yeye basi amesema hawezi kuishi na mtu kama mmi tena, nimejaribu kumuomba msamaha lakini wapi amekataa katakata.
Naombeni msaada wa mawazo jamani nifanyeje? Eti kofi moja tu linikoseshe mke jamani.
Ilo goli la mkono chenga ulipigwa pale ulipoambiwa yuko nyumbani anapika .jipime uwezo wako unaweza kuendelea kwenye rafu gem kama hiyoHabari wandugu, natumaini mko poa.
Mimi nina mpenzi wangu tumekuwa nae kwenye mahusiano huu ni mwezi wa tatu,sio siri huyu binti nampenda sana, nimejitahidi kumhudumia kadri niwezavyo kwa mda mfupi nilikuwa nae, kwa sababu nina nia ya kumuoa, sasa juzi nilikuwa na rafiki yangu tupo maeneo ya Sinza tukapita kwenye bar moja hivi ghafla nikamuona mpenzi wangu nae yupo mle ndani ya bar anakunywa kinywaji wakiwa wamekaa na mwanaume mmi simjui, ndipo nikaamua kumpigia simu mpenzi wangu nakumuuliza yuko wapi.
Akapokea simu nakunijibu yupo nyumbani kwao anapika na wakati minamuona yupo na kijeba wanakunywa vinywaji huku wanacheka, sio siri nilipatwa na hasira ndipo nikaamua kumtuma rafiki yangu akamuite ili niongee, aliponiona alishangaa na aliponisogelea tu sikumsemesha neno lolote nikampiga kofi moja la nguvu rafiki yangu akanishika mikono na watu wakajaa kidogo, nikaamua kuondoka na yule binti akawa amekipingia.
Sasa zimepita siku mbili yule binti nimempigia simu akapokea akaniambia yule alikuwa kaka yake mtoto wa baba yake mdogo na pia ameniambia mimi na yeye basi amesema hawezi kuishi na mtu kama mmi tena, nimejaribu kumuomba msamaha lakini wapi amekataa katakata.
Naombeni msaada wa mawazo jamani nifanyeje? Eti kofi moja tu linikoseshe mke jamani.
Hapa ndo nashawishika kusema siku hizi wanaume wanapungua yaani hapo ilibidi apate bakora za kutosha na mahusiano yaishie hapo.Wewe nae una matatizo, kama alikuwa na kaka yake, kwanini akudanganye? Hujiulizi tu? Huyo hajafanya maamuzi, ingia barabarani kutafuta mwingine, acha kumpigia kabisa. Na huo mkwara wa yeye na wewe basi ni kwa sababu anajua yeye ndie mwenye makosa. Mara nyingi alie na kosa huwa anaoverdo mambo akidhani ndicho kinachopaswa kufanyika ili ionekane kweli. Angekuwa mkweli, angetaka kukuumbua palepale kwa kumuita kaka yake athibitishe kuwa ni kweli wana undugu.
Hivi mbona mnakuwa mazuzu kirahisi hivyo? Mtu unataka kumuoa, adanganye yuko home, umkute bar yuko na jamaa, anadai nivkaka yake baada ya kuwa umempiga kibao, kwanini asimuite huyo kaka amtetee?
Wanaume wachache sana siku hiziNa yeye hata kukudanganya akashindw kama ni mtoto wa baba yake mdogo kweli kwa nini adanganye kwamba yupo nyumbani anapika? hizo ni dharau kabixaaa na wewe unaomba msamaha wa nini acha kujishusha mkuu