Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

Punyeto: Nilivyoanza, nilivyoacha na hali ya sasa

Hongera kiongoz chaputa isidumu milele
Asante, hii chaputa ife, na kuna chaputawa hii ni ya wanawake. Haya mambo yanafanyika kwa siri sana. Utamkuta mwanamke anakwambia kuwa sina hamu na mwanaume kumbe ni mwathirika wa kujichua. Kuna wanawake wengine hata akiwa na mwnaume wake wanafanya sex lakini anajisugua sana kwenye uke hadi anapizi, hawa nao ni wahanga wa kujichua na wameishazoea na hawezi kufika kileleni hata kama ukimbeba hafiki ng'oooo. Wanawake mnalijua hili
 
Nashukuru Mkuu, natumia hii ID kwa siku 5 mfululizo na nitakaporudi kwenye ID yangu ya miaka yote sitarudia tena. Nilitaka ujumbe ufike na umefika na nimejibu baadhi ya maswali na pia kujibu pm zote kwa waliohitaji kwa maswali binafsi .
Sawa mkuu
 
Hii ni reply kwa baadhi ya wadau wa MMU huko mtaa wa PM. Naamini itajibu baadhi ya maswali pia

----------------------------------------------
Hiyo blog siikumbuki niliisoma muda mrefu halafu kuna mtu alikuja MMU akaweka kitu kama hicho ila nakumbuka tu maelekezo na jinsi ambavyo mimi nimefanya.

Kwanza ni maamuzi mkuu.
Pili usitumie dawa za kuongeza nguvu za kiume.
Anza kubadili vyakula ingia kwenye vyakula vya asili.
Tumia tangawizi kwenye chai, changanya na mdarasini na asali badala ya sukari. Fanya hii iwe ratiba yako siku zote angalau mara 2 hadi 3 kwa siku. Tangawizi na mdarasini na asali vikolee vzr. Ukiweza kulamba asali pia ni nzuri.

Mazoezi:
Fanya mazoezi ya viungo.
Ili kuimarisha misuli iliyolegea fanya namna hii maana misuli inapaswa kufanyiwa busti bila kutumia madawa.
Je ulishawahi kubanwa na mkojo na kujaribu kuzuia? Hiyo misuli unayotumia kubana mkojo ndio misuli hiyo hiyo inayotumika kuufanya uume kusimama imara yaani kuwa na nguvu.
Kwahiyo unakuwa unafanya zoezi kama la kuzuia mkojo kwa kukaza misuli na kufanya kama vile unataka kuufanya uume usimame kwa kukaza msuli. Ni zoezi unaloweza kufanya hata ukiwa umekaa. Wakati unakaza msuli jitahidi ziwe angalau sekunde 6 kwa kila zoezi fanya hivi mara nyingi na utaanza kuona misuli inapata nguvu. Unapoanza zoezi hili hakikisha hivyo vyakula unaendelea navyo kwa kasi. Na unapoanza hakikisha haurudi nyuma wala kufanya tena punyeto.
Haya ndio mambo niliyofanya na yakanisaidia.
Fanya hivyo halafu utaniambia baada ya miezi isiyozidi mitatu
Hili zoezi unasemea KEGEL?
 
Hiyo posti ni ya kichochezi kwa wanachama lakini ukweli wake ni mchungu sana ila ina faida, Epuka Chaputa Acha kujibaka
 
Mkuu nimekuuliza hilo zoezi unalosemea ndio lile linaitwa KEGEL sasa ndio nimeharibu uzi mkuu?? hebu google maana ya kegel uniambie
msamehe bure mkuu,hakuwa amekuelewa huwenda anajua tu linavyofanywa ila jina rasmi hajui hilo zoezi linaitwaje. Na kwa mujibu wa maelezo yake ndo hiyo hiyo KEGEL mkuu,ila hili zoezi siku zote hunishinda kulifanya...maana wenyewe wanakwambia wakati unalifanya usibane misuli ya m**ndu yaani uwe free,kila nikijaribu naona automatic kinyeo nacho kinajibana.
 
Asante, hii chaputa ife, na kuna chaputawa hii ni ya wanawake. Haya mambo yanafanyika kwa siri sana. Utamkuta mwanamke anakwambia kuwa sina hamu na mwanaume kumbe ni mwathirika wa kujichua. Kuna wanawake wengine hata akiwa na mwnaume wake wanafanya sex lakini anajisugua sana kwenye uke hadi anapizi, hawa nao ni wahanga wa kujichua na wameishazoea na hawezi kufika kileleni hata kama ukimbeba hafiki ng'oooo. Wanawake mnalijua hili
hivi ni CHAPUTAWA au CHAPUWATA?
 
msamehe bure mkuu,hakuwa amekuelewa huwenda anajua tu linavyofanywa ila jina rasmi hajui hilo zoezi linaitwaje. Na kwa mujibu wa maelezo yake ndo hiyo hiyo KEGEL mkuu,ila hili zoezi siku zote hunishinda kulifanya...maana wenyewe wanakwambia wakati unalifanya usibane misuli ya m**ndu yaani uwe free,kila nikijaribu naona automatic kinyeo nacho kinajibana.
Hahahaha noma mkuu
 
Chaputa chama kibaya sana nina mwaka tangu nirudishe form yao sitaki tena kuongozana nao sasa hivi.
 
Mkuu usinilishe maneno na naomba uwatake radhi uliowataja, mie sikumaanisha hao uliowaandika. Nilimaanisha watu wasiofahamika/ wasiojulikana na kila mtu anaenda kimya kimya. Umefanya kosa kutaka kuhusisha comment yangu na hawa ndugu. Omba radhi
Waeza omba radhi ukapewa maradhi, ni bora kuomba andazi ukapewa mbaazi. Niwie radhi kwa maudhi nilokusababishia.
 
msamehe bure mkuu,hakuwa amekuelewa huwenda anajua tu linavyofanywa ila jina rasmi hajui hilo zoezi linaitwaje. Na kwa mujibu wa maelezo yake ndo hiyo hiyo KEGEL mkuu,ila hili zoezi siku zote hunishinda kulifanya...maana wenyewe wanakwambia wakati unalifanya usibane misuli ya m**ndu yaani uwe free,kila nikijaribu naona automatic kinyeo nacho kinajibana.
Hahahaa hilo zoezi nimejaribu mara nne kwa nyakati tofauti, nafanya siku mbili tatu nashindwa. Ni zaidi ya kunyanyua vyuma
 
Mkuu hiki chama(invisible) ambacho members ni invisible, na mwenyekiti ni invisible bora utoke mkuu kina madhara ya kudhalilisha mkuu. Chaputa kifutiwe usajili
Nimepona nimeona niku quote hapa maelezo yako ni sahihi kabisa huwa nawaza ni namna gani ya kuwasaidia vijana wadogo wasiingie kwenye hili janga ukweli ni kwamba punyeto ni mbaya sana ila kushindwa kupiga game kwa mwanaume ni mbaya zaidi nikiri sina tatizo ila najua ubaya wa tatizo hongera usirudi tena kule
Hakuna kitu kizuri kama kufurahia kufanya tendo la ndoa
 
Back
Top Bottom