Kwa yeyote mwenye shida ya sheria za kazi

Shida inakuwa kwenye uthibitishaji wa hiyo ajira baada ya hapo kutokana na uthibitishaji ndipo nafuu pia hupatikana kwa mfano wewe unasema unazaidi y mwaka swali ni je kipindi cha majaribio kilikuwa ni cha mda gani na je ajira yako ilidhibitishwa

Sent from my SM-N910C using JamiiForums mobile app
probation ni miez mi3 ambayo ilishapita na kuhusu uthibitisho wa kutoka kwa mwajiri hakuna ila kuna documents za kampuni ambazo zina jina langu na sain zangu na mm ninazo,pia kuna kaz za online ambazo zimekuwa registered kwa jina langu na email yngu kwa ajil ya kampuni, so km mwajiri akinikana naeza tumia hzo au?
 
Zinazokuwa coverede na Employment and Labour Relation Act
Mkuu nisaidie jambo,
Nimeajiriwa km fundi na kampuni Fulani ya uchimbaji madini,na ninpewa mkataba wa mwaka mwaka yaani wa muda,huu ni mwaka wa nne mwendo ni huo huo,
Je kisheria mkataba wa mwaka mwaka unatambuliwa?,
Ikitokea wameamua kunisitishia wao mkataba kwa hiari yao,sheria inanitambua km mfnyakazi wa muda au wa kudumu?,na je ni muda gani sheria inaagiza anaesitishiwa mkataba apewe wa maandalizi,ama ni atakavyo muajiri?
Msaada plss maana dah maji ya shingo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atakate rufaa HC?? wakat kesi zote za ajira zinaanzia tume ya usuluhishi na uamuz?? Sema hvi kama umeachishwa kaz pasipo kufuata taratibu ,kama mfanyakaz anastahil haki zip?

1.utaenda Ku fungua mgogo kwenye Tume ya usuluhishi na uamuz(CMA)
Dhid ya mwajiri wako kulalamika kwamba umeachishwa kaz isivyohalali (UNFAIR TERMINATION)

2.haki utakazo weza kupata kama itathibitishwa hvyo
(a) unaweza ukaomba kurudishwa kazn kama bado unataka uendelee na kaz

(b) kulipwa fidia SI chin ya miez kwa mshahara wako wa mwezi

(c) likizo kama haukuchukua kweny huo mwaka

(d) taarifa kama haukupewa taarif

(e) transport allowance ww na familia yako
Mfanyakazi aliyeachishwa kazi zaidi ya mwaka mmoja, na sasa anahitaji kufungua kesi kutokana na unfair termination, anaweza kuanzia wapi? CMA au HC moja kwa moja? Kuna ndugu yangu amekumbwa na hilo janga.
 
Mfanyakazi aliyeachishwa kazi zaidi ya mwaka mmoja, na sasa anahitaji kufungua kesi kutokana na unfair termination, anaweza kuanzia wapi? CMA au HC moja kwa moja? Kuna ndugu yangu amekumbwa na hilo janga.
Anaanzia CMA, ila azingatie yafuatayo

1.kama ni kesi ya unfair termination kisheria inabd ifunguliwe 'ndan ya sku 30 tangu siku ya kupokea taarf ya kuachishwa kaz

2.kama unamadai dhd ya mwajiri wako inabd madai yafunguliwe 'ndan ya siku 60


NB:

KAMA HZO SIKU ZA KISHERIA ZIKIPITA BASI INABD UELEZE NI SABABU ZPI ZA MSNG ZILIZOKUFANYA WW UKASHINDWA KUFUNGUA KESI YAKO 'NDAN YA MUDA WA KISHERIA?

HAPO 'NDO UNATKIWA UANDIKE KIAPO CHA KUUNGA MKONO SABABU ZAKO, KAMA SABABU ZAKO ZA KIBOYA BASI KESI YAKO INAPIGWA CHINI,Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimenunua nyumba nyumba, aliyenuuzia alidai hati imepotea na badala yake akaileta hati ya kiapo ya mahakama kwamba hati nyumba imepotea, baada ya kuniuzia nyumba miezi mnne badae wkaja watu wa Benki na nyaraka zote kwamba nyumba ile iliwekwa bondi na wanataka kuiuza kwani mteja wao ametoroka na hajarejesha kwa muda sasa, wakati nafanya mawasiliano na yule bwana wakaja tena nikiwa safarini na kutangaza mnada kwa kuwa nilikuwa mbali nikaamua kuikomboa nyumba kwa kuinunua tena toka benki, sasa hapo nataka nimfungulie mashtaka yule jamaa, nipe ushauri mtaalam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimenunua nyumba nyumba, aliyenuuzia alidai hati imepotea na badala yake akaileta hati ya kiapo ya mahakama kwamba hati nyumba imepotea, baada ya kuniuzia nyumba miezi mnne badae wkaja watu wa Benki na nyaraka zote kwamba nyumba ile iliwekwa bondi na wanataka kuiuza kwani mteja wao ametoroka na hajarejesha kwa muda sasa, wakati nafanya mawasiliano na yule bwana wakaja tena nikiwa safarini na kutangaza mnada kwa kuwa nilikuwa mbali nikaamua kuikomboa nyumba kwa kuinunua tena toka benki, sasa hapo nataka nimfungulie mashtaka yule jamaa, nipe ushauri mtaalam

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hii ni simple na straight forward. Mtafute Wakili akusaidie kuandaa hati ya madai, of course imeandamana na jinai but my preference is civil but you can still run both concurrently.

Kumbuka jinai ipo chini ya jamhuri na hutohitajika kulipa gharama zozote ila end result ni mtuhumiwa kufungwa au kulipa faini. Hivyo utakuwa hujapata fedha zako unless kama unalipiza kisasi!
 
Jamani labor imetoa fidia ndogo sana, na mahakama ikaenda kazia hiyo hukumu kwa malipo hayohayo kidogo
 
Wanajamvini wenzangu kwa yeyote Mwenye shida na maswala ya sheria za kazi awe huru kuniuliza

Karibuni!
Habari.Nilikuwa mwalimu serikalini,tangu 2012 hadi mapema 2015 nikaamua kwenda private kwaajili ya maslahi na changamoto mpya ya kazi.Niliandika barua ya likizo bila malipo,bila kusubiri ruhusa hiyo kujibiwa nikawa nimeondoka.Nilikabidhi kila kitu kwa maandishi kwa mkuu wa shule na boharia wa shule.Mwaka mmoja baadae tangu niondoke nilipokea barua ya kusimamishwa kazi kwa UTORO.Barua ile ilinitaka niwasilishe utetezi wangu si zaidi ya siku 14 tangu kupokea kwa barua ya kusimamishwa kazi.Niliandaa utetezi wangu kadiri nilivyoona inafaa na nikauwasilisha ndani ya siku mbili tu nikiambatanisha na barua yangu ya likizo bila malipo.Miezi kadhaa baadae nilikamatwa na polisi kwa amri ya mkurugenzi kwa madai ya kuchukua mshahara kinyume na sheria (Ni kweli mshahara ulikuwa unaingia tangu feb 2015 hadi jan 2016.Katika barua ya kusimamishwa kazi nilielezwa kupitia barua hiyo kuwa nitakuwa nikilipwa nusu mshahara,hivyo kuanzia feb 2016-march 2016 nililipwa nusu mshahara.Tangu hapo mshahara haukuingia tena).Mkurugenzi alinitaka nirejeshe pesa hizo (jumla ya pesa zote tangu nilipoondoka mpaka mshahara wa mwisho niliopokea) jumla ya Tsh 9100200/=.Niliweza kulipa pesa zote na nikawa sidaiwi kiasi chochote.Tangu hapo sijawahi kupata maendeleo yoyote ya kesi yangu ya msingi ya KUSIMAMISHWA KAZI.Naomba kuelewa kisheria jambo hili limekaaje na haki zangu za msingi.Ninavyoelewa mtu anaposimamishwa kazi anapaswa kulipwa mshahara kamili.Naomba nikusikilize mwanasheria
 
Wanajamvini wenzangu kwa yeyote Mwenye shida na maswala ya sheria za kazi awe huru kuniuliza

Karibuni!
Mkuu,
Inapotokea Hakimu ametoa hukumu ya kuegemea upande anaoutaka, bila kujali ushahidi uliotolewa na mahidi muhimu, na hata katika mwenendo wa kesi hakunakiri kabisa na au alinakiri kitu ambacho mashhihidi wangu hawakuongea hivyo.
Hukumu anaitoa kwamba nimeshindwa kesi, nina nini cha kufanya?
Records zinazopewa uzito ni kumbukumbu alizonazo hakimu, hivyo hata rufaa watasoma nukuu zake. Ni nafuu gani hapo?
 
Taratibu za ajira ya mkataba kwa mtumishi aliyestaafu zipoje katika utumishi wa umma.
 
Habari mkuu,

Napenda kufahamu kuchelewa kazini kwa mtumishi wa umma (mwalimu) kunaanza saa ngapi.?
Pia mstari wa blue/black unaopigwa na mkuu wa shule ikifika saa 7:30am kunamaanisha nini.?
Pia mstari mwekundu unaopigwa na mkuu ikifika saa7:40am kunamaanisha nin.?
 
Je ushahidi wa Picha za video from cctv camera ni admissible cma kama ndiyo kwa sheria ipi
 
Mfanyakazi eliye kwenye ajira ya mkataba au ya muda, ana stahiki kulipwa repartriation na gratuity baada ya mkataba? Kwa authority au sheria gani?

Je anapaswa kuchangia kwenye pension fund??
 
Mkuu,
Inapotokea Hakimu ametoa hukumu ya kuegemea upande anaoutaka, bila kujali ushahidi uliotolewa na mahidi muhimu, na hata katika mwenendo wa kesi hakunakiri kabisa na au alinakiri kitu ambacho mashhihidi wangu hawakuongea hivyo.
Hukumu anaitoa kwamba nimeshindwa kesi, nina nini cha kufanya?
Records zinazopewa uzito ni kumbukumbu alizonazo hakimu, hivyo hata rufaa watasoma nukuu zake. Ni nafuu gani hapo?
Jibu hili swali
 
Walimu na nyie mnatia aibu!.

We umepewa barua feki ya uhamisho na ukaenda. Mwanza to Moro umbali wa kilomita 960. (Ni safari ya kuanzia saa 12 asbihi hadi saa 3 usiku kwa usimamizi wa sasa) swali;-

1. Je ulikuwa ni uhamisho wa malipo ama bila malipo??

2. Kama ni wa malipo (ni lazm uwe wa malipo coz yy ndo alipewa barua kuwa amehamishwa na mwajiri wke) je kwa nini asingeenda kwa mwajiri wke kudai/kufuatilia malipo yake yahakikiwe kabla hajaenda si hapo ndo mwajiri angeshangaa na kumuuliza kwan umehamishwa, then angegundua kuwa ni FAKE????

3. Mtumishi wa umma akihamishwa (tena mkoa had mkoa) taarifa hutolewa kwa mwajiri mpya (kituo kipya cha kazi) je alikuta kumbukumbu zake huko moro???

WALIMU..!!!!WALIMU....!!!mmhh....Aah...maana kuna mwingine huku nae kaenda BAYPORT kuulizia mashart ya mkopo kumbe kasainishwa form za mkopo bila hiari yake/bila kujua! Na cha ajabu kila mwezi anaona salary slip amekatwa marejesho ya mkopo hadi anakuja kwangu tyr ameshakatwa miezi 35 kwa RATE ya >170,000/= kila mwezi.

Nilishindwa hata kutumia LITIGATIONS badala yake nikakomaa na ADR.
Hawa jamaa wanaongoza kwa kutapeliwa, hata wakistaafu hutapeliwa pensheni zao na wakopeshaji wa mitaani
 
Back
Top Bottom