Mbona km hii kitu inataka chukuliwa kw maana hasi!kuna uwezkano pia kuwa mdada kasikia masimuliz toka kwa wenzie akaona nae amfanyie mumewe kwa mara ya kwanza na atakuwa akiendeleza hayo.
Kuna ktu naona!ktk ndoa yako kila mmoja anaonesha kutoridhika na matendo ya mwenzie,refer msg ulioona ya mkeo kutoka kwa ***** ni waz nae alikuwa analalamika.
Kaeni muongee kwan hata hlo la kurud kazn ukawa busyy na chartng kwa ndoa ya miez 5 tu gumu sn.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.