miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
niliwauliza wenyeji wakanihakikishia unatoka clean kabisa haibaki kitu
me ni kama thomaso nitataka kuhakikisha tu..
niliwauliza wenyeji wakanihakikishia unatoka clean kabisa haibaki kitu
Aiseeee....!!! Hiyo speed ya hayo maji haisababishi maji yakaingia ndani kabisa kunako papuchi au 0713??
Yaani inakupa huduma an raha
View attachment 130655
Tembea uone katika pitapita zangu huko duniani nimekutana na choo hiki, msema ukweli mpenz wa Mungu, sijawahi kuona choo cha namna hii ni mara yangu ya kwanza. Yaani choo kina kibomba kwa nyuma katikati ukimaliza shuhuli yako unafungulia maji yanaruka kwa speed hadi kwenye papuchi au 0713 kukunawisha huhitaji kupeleka mkono wako huko. Pressure ya maji inaondoa ukoko wote.
Hiki kitafaa sana master bedroom, karibuni tushangae wote, kama ulishawahi kukiona basi close thread ufungue ingine ambao hamkuwahi kukiona kama mie endeleeni kushangaa na mkiagizie muweke majumbani yenu.
Vingine ambavyo huwa navi admire ni vyoo vya automatic flash.

Basi itakuwa vzrSasa hapo kila unapiebda kukojoa utakuwa unakojoa mara mbili mkojo wakawaida na wa raha balaa hili