amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Happy birthday MziziMkavu hapa najiandaa kutega popo nimchinje nimuweke chini ya mto ile dawa yetu ile.....
Last edited by a moderator:
Sehemu niliyopo mimi huwezi kufika ni machimbo Heavy na hawezi kufika binadamu yoyote ile ila mimi tu. Nipo kwenye Machimbo ya Ufo nipo na Viumbe Ufo angalia hapo chiniHongera kijana ....Uko chimbo (nchi ) gani nitafute ungo wangu nipae kutoka milimani kwetu nihudhurie mwaliko huu??
Happy birthday mkuu, how old are you now?
Nina Miaka 48 mkuu.Happy birthday mkuu, how old are you now?
Mtoto wangu ana miaka 25 kumbe wewe sawa sawa na mwanangu kassim sawa mwanangu.Hongera sana, gawanya kwa mbili unapata umri wangu
Asante My Young brother nipo nje ya nchi Ughaibuni huku nilipo baridi kali sana kila siku unaonekana kijana kutokana na hali ya hewa nzuri sana.But you look young
Mtoto wangu ana miaka 25 kumbe wewe sawa sawa na mwanangu kassim sawa mwanangu.
hepi besdei ya kuzaliwa braza...