Ni wako na jamii au ni wako peke yako? Maisha ni weye naye tu. Angalia kama anazo sifa zinazostahili. Tabia isikuzingue umwache uje kumkuta na mtu ukazimia bure. Sifa nyingine anazo? Mke kioo banaa kila ukipita naye mimacho iwatoke njiani wameze mate. Ila kama hana uso, na figure, ukiongeza ulimi kaka si utajitundika? Unatakiwa useme, kakosa ulimi tu. Jaza menyewe
We ndo unamjua vzr kuliko cc, so ucmuhukum m2 kwa baya 1 tu. Angalia kukufanyia mazuri mangapi na mabaya mangapi ndo uchukue maamuzi. huenda ilikua ni wivu tu. samehe 7 x 70
Usimlaumu sana inawezekana ndo familia yao ilivyo..kuna baadhi ya familia aisee ukisikiliza mazungumzo yao hauwezi kuelewa nani mkubwa nani mdogo....sasa sijui wakiolewaga wanakuaje!
kwa urahisi huyo sio mke huyo ni kama changu kivipi anaonyesha anamaneno sana na pia wanayo wao ya chinichini wao kwa wao na kama mama yake anajiamini hivyo basi jua na mwanae kuna mahali yuko. sasa kwanini achukie ukiwa unaongea na dada yake tena wa damu hata kama hawapatani kaa karibu na dada yake yaweza akakueleza mengi sana na usiwe una mwamini huyo mkeo maana sio wa kawaida niwa uswazi yani hata ukioa ndo utajua mbivu na mbichi iko siku ata anza tabia kuzianika live.
Kaka kimbia kama umeona ukoma vile, kwa style hiyo hapo hakuna mke. Hujamuoa tu anakuwa na majibu ya hivyo, ukimuweka ndani si ndio hata wewe atakutukana mbele ya ndugu zako. Kama kweli anaweza mwita mama yake mzazi mshenzi, hao ndugu zako ndio atawaheshimu kweli? MKuu hapo hakuna mke kabisa, chapa lapa when its still early
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.