Recent content by Mungu Mweusi

  1. Mungu Mweusi

    JamiiForums Tanzania Napitia changamoto kazi mpya

    Wao ndiyo wamekuajili au wote nyie ni waajiriwa. Kuwa mtata, wote watakuwa wapole.
  2. Mungu Mweusi

    JamiiForums Tanzania Punyeto imenimaliza

    Kwa hiyo punyeto imekuziba masikio😂
  3. Mungu Mweusi

    JamiiForums Tanzania Young Lunya na muonekano mithili ya mrahibu wa dawa za kulevya

    Lil wayne😂
  4. Mungu Mweusi

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

    We ungetaja kabila la Wakwe zako tu, huko kwingine usiwahukumu kwa sababu hawana hizo tabia za kuvyonza vidole
  5. Mungu Mweusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kapangiwa kazi Mkoani

    Nakushauri mwache aende na watoto Nakushauri muache aende na watoto ni muhimu. Watoto katika umri huo wanahitaji Malezi ya mama Sana kuliko baba. Hivyo mtafutie Dada wa kazi atakayekua anamsaidia majukumu. Pia hakikisha unakuwa karibu na mke wako kwenye mawasiliano, kila wakati na kumpa moyo...
  6. Mungu Mweusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Muozeshe haraka Sana huyo kijana. Akishaoa hatokusumbua tena.
  7. Mungu Mweusi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri; mwili unaishiwa nguvu baada ya kuamka kutoka ndotoni

    Hiyo ni dalili ya kuwa na aina Fulani ya jini kisirani
  8. Mungu Mweusi

    JamiiForums Tanzania Nimenunua ng'ombe nimpe chanjo gani?

    MPE chanjo ya pepo punda
  9. Mungu Mweusi

    JamiiForums Tanzania Watu wakimya/wapole njoeni tuambiane shida/changamoto zilizotukuta au zinazotukuta

    Madhara makubwa ni kufa maskini maana huwezi kuwa na Social Capital kama wewe ni Mzee Wa Ganzi. Wengi watakuangalia maana utaona Kama unajipendekeza kutokana na mitizamo yako.
  10. Mungu Mweusi

    JamiiForums Tanzania Sifa za wanaume weupe

    Kama umeanza ubaguzi wa rangi, sasa utaendelea kwenye dini, kabila, jinsia, elimu, uwezo wa kiuchumi, ukanda, etc.
  11. Mungu Mweusi

    JamiiForums Tanzania Tulionusurika kufa maji tukutane hapa

    Dah acha kabisa kifo cha Maji kilinikosa Mwaka 2000, nilikuwa nimeenda kuvua samaki MTO wenye kina kirefu wenye mamba. Sasa tumevua tumemaliza ile naenda kupanda mtumbwi tu nikateleza na kuzama kutokana na utelezi Wa mtumbwi kukaa na Maji. Nikapiga kikombe kimoja, Jamaa yangu akazama na kuniokoa.
  12. Mungu Mweusi

    JamiiForums Tanzania Amevunjika mkuu wa kushoto, anaomba msaada aweze kupata matibabu

    Mwambie aende hospitali akatibiwe maana sijawahi kuona MTU akaenda hospitali ya Umma akaambiwa hakuna tiba atoe hela hata Kama Hana uwezo
  13. Mungu Mweusi

    JamiiForums Tanzania Dar: Hii mvua mbona siielewi, tangu asubuhi inanyesha tu

    Mbona huku mikoani mvua zinanyesha na tunakomaaa kimya kimya. Nyinyi watu Wa DSM mnalalamika kila Uzi mvua.
  14. Mungu Mweusi

    JamiiForums Tanzania Kwa mvua hii, wafanyakazi wakichelewa kazini mabosi muelewe

    Tunakodisha miamvuli, kokote tunakuletea. Na mikoani tunatuma!!
  15. Mungu Mweusi

    JamiiForums Tanzania Kero katika saluni za kiume

    Vinyozi wengi wananuka midomo na vikwapa
Back
Top Bottom