Recent content by Mung'anzagala

  1. Mung'anzagala

    Mwandikie X wako methali inayomfaa afungie mwaka!

    Kamwe Punda hawezi kufa kwa Mchapio Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mung'anzagala

    Liverpool itaadhibiwa vibaya na club cha flamingo ya Brazil

    Mpaka kocha wa Flamengo kamzawadia Klopp jersey afu wewe mkazi wa mwanagati huko unakuja na pre match analysis ukiwa na mahaba mbele.... ukae ukijua klop is the world best manager for the year 2019 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mung'anzagala

    Benjamin Fernandes Ni nani?

    Mkuu unajua watu wengine sio makosa yao... tatizo ni betriii.... hebu sema betriii Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mung'anzagala

    Werrason - Kibuisa Mpimpa (Operation Dragon) Full Album

    Kuna kitu cha Le vent du soir.... balaaa sana... hii kitu utamsikia hapo ferre gola akilalamika.... ngoja niingie chimbo nikuletee lyrics za huo wimbo
  5. Mung'anzagala

    Top 10: Majina ya kipekee zaidi kutoka Tanzania

    Mgoda Indonya Mgoda ni marehemu alikuwa diwani samuwea iringa
  6. Mung'anzagala

    Wale tulioingia chuo kwa mbwembwe na tukaishia kudisco kwa aibu tukutane hapa

    Alikuwa tz one huyu.. ila alichokutana nacho pale udsm... hana hamu nacho.. ila nadhani alirudi tena kufanya mambo ya petrolium hapo hapo udsm
  7. Mung'anzagala

    Tulionunua Hisa za Vodacom Tukutane Hapa

    Hapo mzee nilikuwa nazungumzia utofauti wa kuweka kwenye hisa or kuweka fdr.. ni maramia ukaweka kwenye fdr kwa mtu anaetaka kuwekeza kuliko kuweka kwenye hisa kwa lengo la dividend
  8. Mung'anzagala

    Tulionunua Hisa za Vodacom Tukutane Hapa

    Wakati mpunga kama huo ukiuweka kwenye fixed deposit kwa mwaka unakula riba moja tamu sana.. zaidi ya milion 5
  9. Mung'anzagala

    Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    Daa aisee we jamaa mbishi sana utuulize tuliosoma hizo shule.. ni za kanisa katolic.. kama unabisha tena nenda pale msimbazi centre ukawaulize st mary's visiga sminRy ni ya mama rwakatare or ya kanisa katoliki.. Zipo seminary nyingi za kikatoliki zinaitwa st Mary.. mf ile ya hapo mbalizi mbeya...
  10. Mung'anzagala

    Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    Zipo seminary nyingi za kikatoliki zinaitwa st Mary.. mf ile ya hapo mbalizi mbeya inaitwa st mary mbalizi... kuna moja iko hapo pwani inaitwa st. Mary's pia au maarufu kama Visiga seminary
  11. Mung'anzagala

    Hongera Ali kiba kwa kuwaunga mkono Gsm foundationtz!

    Facts... Niko London hapa ninafuatilia bbc Playlist na nimeona ule wimbo wa Kidogo wa Chibu.. very impressive
  12. Mung'anzagala

    Fahamu jumla ya hifadhi (National Park ) zetu nchini

    Ingia kwenye website hii hapa www.tanzaniaparks.go.tz utapata entry tarrifs zote kwa kila park na namna wanavyotoza kwa residents...non residents na expatriates Sent from my SM-G355H using JamiiForums mobile app
  13. Mung'anzagala

    Fahamu jumla ya hifadhi (National Park ) zetu nchini

    Sorry kitulo naona hapo mahale nimeandika twice
  14. Mung'anzagala

    Fahamu jumla ya hifadhi (National Park ) zetu nchini

    Nachojua ziko national parks 16. Zinasimamiwa na TANAPA nazo ni 1. Serengeti np 2. Ruaha np 3. Tarangire np 4. Lake manyara np 5. Saanane np 6. Rubondo np 7. Gombe np 8. Mahale np 9. Katavi np 10. Mahale mountains np 11. Mikumi np 12. Udzungwa mountains np 13. Saadani np 14. Mkomazi np 15...
  15. Mung'anzagala

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mie huwa naangalizia kwenye Liverpool Tv chanel namba 403 kwenye kingamuzi cha AZAM
Back
Top Bottom