Wapendwa eeh, Msiwachukie hawa vijana Benji na dadake Bernice. Kwa kifupi, wame master the art of story telling and capturing peoples attention!
Nimeongea nao mara chache, nikajiuliza swali hilo hilo! wewe kusoma Harvard, Princeton kama mTanzania pekee ina msaidia nani? umeifanyia nini Tanzania na kisomo chako? Maana Kijana alivorudi tu TZ alilipia matangazo IG sponsor kuwa ame graduate kaacha kazi ya hayo mapesa. Kiukweli, hakuna Graduate anaemaliza shule dunia hii akapata kazi ya mshahara huo, hicho kitu hakipo. Ila unaona kuwa stori imeongezewa mnofu kidogo. Ila nampa 5 kwa kutumia first class education kujiuza. Anauza story, natumai ana mipango ya kutumia hii attention vizuri, kwasababu itakuwa useless effort kama hana, but he a smart kid.
This is what education buys you people. The gift of gab an opportunity to make money from fools and friends.
Afu msubiri muone atakavyojinadi na kushukuru support yetu humu Jamii Forum kwa kumtambua mchango wake katika jamii! Hahahaha! Wait for it!! waaaiiit....4.....3......2.5......2......