Habari wakuu, mwenzenu nahitaj kuongeza huduma ya kusafisha picha za kawaida pamoja na passportsize ktk ofis yangu,niko maeneo ya kijjn ningependa kupata walau EPSON used naweza kuipata wap na kwa bei gani? Niko Bukoba
sometimes no research no right to say! nimefuatilia sana na NACTE wameanzisha kitu hicho,haf kama mtu alipata division iv akiwa na pass 4 akachukua certificate yoyote ktk vyuo vinavyotambulika na NACTE anaruhusiwa kuaply Diploma in primary eduction,tusikalie kusema mara utapeli mara hakuna kitu...
Habari za majukumu wadau wa elimu.Nasikia eti vyuo vya ualimu wa shule ya msingi vinatoa foundatio course ya mwka mmoja kwa wanafunzi wa kidato cha nne wenye dvn 4 ya pass 4 na kuendelea ambao hawana sifa za kusoma 'diploma in primary eduction' then wakifuzu wanaendelea na hyo diploma.Naomba...
kijana wangu ana C ya kiswahl na geography kwa last year akiwa na point 30, ameresit ths time amepata credt ya 3 ya history akiwa na point 29,nimefkria kumpeleka form five private au kuna namna nyngne nifanye?
Mdogo wangu ana Credt tatu amezipata kutokana na mitihani miwili yaan crediti mbili za mtihan wa kwanza na moja ya kuresit.Naomba mwenye ufahamu anielekeze kama naweza kupata shule na kwa vipi
Mdogo wangu alifanya mtihani wa kwanza akawa na C mbili za geografy na history.Akaresit sasa amepata C moja ya History.Je anaweza kwenda advance private kwa kutumia mitihan miwili hyo? au anaweza kupata mahali pa kwenda? naomba mnielekeze nipate kumsaidia mdogo wangu
Habari ndgu,nimekuwa na tatizo la kukosa usingizi usiku,muda mwingine inanichukua masaa kama matatu kuupata baada ya kulala,nikishutuka usingzn ndo siupat tena had asubuh,nilipitiwa nkacnzia mchana hat kwa dk kdgo uck ndo nakesha kabisa,nipen ushauri make hili jambo laweza kuathiri afya yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.