Habari zenu wanafamilia wa #JF matumaini yangu ni wazima wa afya kabisa namshukuru mungu mi ni mzima wa afya.
*Haya matokeo ya kidato cha nne ndiyo hayo yametoka!!hamu juu ya kila mtu kujua nini amevuna na kipi alichofanya ndani ya miaka minne kila kitu hadharani,sasa nikiwa hapa JF ndo mpango mzima!! maana yake watu washaanza kuhoji mim nina hiki au kile nitafanyaje,haya ngoja nitajaribu kuweka mwongozo na alternatively nyingine due to spme perfomances kwa wote,manake naona huku mtaani watu wanadanganyana sana
*Hii ni kwa kadri ninavyofahamu mimi kama kuna marekebisho basi yafuatie*
=>Credit qualification kwa hali ya kawaida ni total point ambayo inajumuisha point 10.0 sawa ili uende form 5 na taratibu za baraza la mtihani la nchi yetu ufanye mitihani wa form 6
Kwa kawaida lazima ili ufanye mtihani form 6 angalau uwe na C 3 hapa ni either umebalance combination au hujabalance
Sasa kama una C 3 na comb hujabalance hautachagulia serikalini bali shule binafsi utaenda kusoma mchepuo utakaofanana na masomo yake
*KWA MFANO*
CIVICS-C,KISWAHILI-C na GEOGRAPHY-C unaweza fanya HGK,ama HGL nk hata kama ENGLISH na HISTORY una D
=>Ukiwa na C 2 na D kadhaa(lets say 4 ya 26) ,hapa utaweza kwenda form 5 shule za private lakini utafute C ya kureset wakati upo form 5 same na C moja
=>Hapa sasa ndipo kwenye utata ukiwa na D 3 kiukwel sahau form 5 kama hauhitaji kurisit sasa qualification hizi zina option zifuatazo
1.Unahitaji kupiga long pass kwa kwenda chuo kwa ngazi ya certificate ya duration ya hii kozi ya 1 year.Sasa hapa kuna vyuo kadhaa vinavyotoa certificate hapa ni D za masomo yoyote yale Basic(sina uhakika kama b/knowledge na Islamic zinazingatiwa na ndio mana nasema D za basic subjects)
Mfano:unaweza kufanya certificate vyuo vya CBE,IFM,TIA Vyote vya mambo ya biashara,UTUMISHI WA UMMA(MAGOGONI)vyuo vya ualimu nk
Nakozi nyingo tu wanatoa kwa certificate mfano:=>Procurement,Accounts,publics admistration,recording,clearing and forwarding,social development,secreatarial duties,Education nk
Ukiwa na D 4 upo qualified kufanya ngazi ya certificate kama nilivyoainisha hapo juu
=>Ukiwa na D 5 sasa hapa wewe umeula hapa unaruhusiwa kabisa kufanya basic diploma katika vyuo vyote vinavyotoa diploma kwa vyuo hivyo nilivyotaja hapo juu chukua form yako kwa maringo achana na biashara ya kurisit omba kozi ya diploma tena kama una D ya hesabu na English ndo inakua rahisi zaid kuchukuliwa
=>Kwa wale waliosoma math's kuna vyuo vingine kama DIT,AIT,NA MBEYA TEKU.
Msisahau kufanya maombi na kwa wale waliopiga freshi biology with minium of D angalieni option za nursung ni nzuri sana na katika vyuo vya MATC NA COTC
N:B kama kuna marekebisho yanakaribishwa na kama hoja ama daubts basi uwanja ndio huo.
Imeandikwa na David Emmanuel