Havina utata wowote mkuu.. ukimaliza kule unaleta cheti chako baraza wana kagua kama feki au laah... pia wana kuwekea matokeo yako katika mfumo wa kibongo.. ila cheti chako kinabaki vilevile tuu.. wao wana kupa barua ya kutambua kuwa cheti chako na matokeo yako ni halali... hizo ni porojo za asilimia kubwa ya watz kama zilivyo porojo kuwa elimu ya Uganda ni rahisiasante wakuu,nimefurah kwa ushauri wenu.kuna watu wanasemda uyet vya uganda vinakuwa na utata kwa huku,au ni negative ideologies
eeeh ndo imekuwa university sasa hv nduguHivi campus ya Kabaka's Lake ndo imepandishwa daraja nakuwa St Lawrence University?
ndio..eeeh ndo imekuwa university sasa hv ndugu
Ndo ile uganda ambayo division 4 za kwetu zinapelekwa na kufaulu vizuri advance au nyingine wale ni vilaza huwezi kulinganisha kabisa mtoto wa uganda na tanzania na mfumo wao wa elimu upo corrupt haowezekani mtu na d zake tatu anaita principle anaenda uganda na ansoma bila shida yoyoteHakuna Kitu Kama Hicho ASIKUDANGANYE Mtu ELIMU Ya Uganda Ni Bora Mara 100 Kuliko Ya Tanzania Ila Kwa Sasa Nasi Tanzania Ndiyo Tunaamka. Na Hata HAO Wanaoibeza Ni WIVU TU ULIOTUKUKA Unawasumbua. Elimu Yao Iko Cheap Lakini Pia Ina UBORA MKUBWA Huku Walimu Wao Karibia 99.999% Wakiwa Very Committed. Anayemaliza Form ( Senior ) Four Ya Uganda Anaweza Kushindana Na Mwanafunzi Wa CBE au IFM Kwa UELEWA, MAARIFA Na AKILI Na Anaweza Pia AKAWAZIDI Vile Vile Huku Mwanafunzi Wa Form ( Senior ) Six Ya Uganda Anaweza Kushindana Na Mwanafunzi Wa Mwaka Wa Pili Wa UDSM Isipokuwa Tu Hawezi Kushindana Na Mwanafunzi Wa SAUT! Nifah, UncleBen, Mussolin5 Na MAPOPOMA Wengine Mpo?
Wengi wao wakiwa huko wanajenga urafiki na watanzania wenzao ambacho si kibaya ila hawajichanganyi matokeo yake kizungu tewali siku ya mwisho. Inasikitisha sana mtu anakaa miaka minne mpaka sita kuzungumza kiingereza inakuwa shida.Oya Mbona Umesahau Kumtajia Na Shule ZILIZOTUKUKA Alizosoma GENTAMYCINE Za Bugema Adventist Secondary School ( O - Level ) Kule Luweero 1996 - 1999 Kisha Kabojja High School ( Advance Level ) Hapo Kampala 2000 -2001? au Unazionea WIVU Hizo Shule? Uzuri Wa Hizo Shule Zote Mbili HUSOMI Kama Huna AKILI Za KIYAHUDI au KITUTSI au Za KIZANAKI / KIYAO Ambazo Ni KUBWA SANA. Nifah, Mussolin5, UncleBen, kadoda11 Na miss chagga Nyie Nanyi MMESOMA Wapi? Ila Nataka Nichukue FURSA Hii KUWAPAKA Nyie Vijana Wa Sasa Mnaosoma Nchini Uganda Hebu Acheni USELA " Nnya " Kwani Mnatutia AIBU Sisi Kaka Zenu TULIOACHA REKODI Zetu Huko UNEB. Watanzania Mnaosoma Uganda Sasa Kutwa Mnashinda VIJIWENI Hapo Maeneo Ya Sokoni OWINO Na Katika Ile Gesti / Loji KIPENZI Ya Watanzania Wote Ya SAMALIEN Iliyopo Nyuma Tu Ya Uwanja Wa Mpira Wa Nakivubo Huku Wengine Kutwa Mkishinda Pale WANDEGEYA Njia Ya Panda Ya Kwenda MAKERERE University Mkinywa Gongo La MAPAPAI Na NDIZI Ile Ya Kiganda. Badilikeni UPESI Na HARAKA Kwani Tambueni Kuwa WAZAZI Wenu Huku Bongo WANAJINYIMA Kwa AJILI Yenu Halafu MNAWAANGUSHA. Sasa Mnachoniudhi Wengi Wenu Mnasoma Huko Uganda Miaka Yote Hiyo Halafu Mkija Tanzania VIINGEREZA HAMJUI Sasa Kwanini Msingebaki Tu Msome Huku Tanzania KAYUMBA PRIMARY SCHOOL? Napenda Mno Mwanafunzi MTUNDU, MTUKUTU Na MLA BATA Zote Lakini LIKIJA Suala La Masomo AKIFELI Sana Basi Ana B au B+. Mimi Nakumbuka Nilikuwa Nikienda Ama Mziki Enzi Hizo Club Silk au Angenoir au Nikienda Kubai " PAPUCHI " Pale Maeneo Ya Central Bank Of Kenya Nilikuwa Nabeba Notes Zangu MFUKONI Na Nikiwa Nacheza Mziki Mule Ukumbini Baadae " Najiiba " Kidogo Natoka Nje Natafuta Mahala NASOMA Kisha Narudi Ndani Kucheza Mziki Na Hata Nikiwa Nimeopoa Demu La KIGANDA Nikiwa Tu Chumbani Nikishamaliza " Kubatua " Angalau Goli Moko Namwacha Yeye ANAUSIKILIZIA " Mkuyenge " Wangu Huku Mimi Nikisoma Na Maisha Yanaenda. Nakumbuka MASELA Wengi Mno Walikuwa Wakiniiga Kwenda Town Lakini Nilichowafanyia Katika Matokeo Yangu Ya FORM FOUR NA SIX ( Uganda Wanaita SENIOR FOUR Na SENIOR SIX ) UNEB Na Wao Wanajua. Ukiwa MTUNDU Basi HAKIKISHA Pia Una AKILI ZILIZOTUKUKA. Ujumbe Huu Uwafikie Vijana Wote Wa Kitanzania Mnaosoma Huko Nchini Uganda.