Recent content by Mulugwanza

  1. M

    JamiiForums Tanzania Graduate Mwenye uwezo mkubwa wa kutumia computer

    tuma cv kwenye amigoamigo424@yahoo.com
  2. M

    JamiiForums Tanzania Graduate Mwenye uwezo mkubwa wa kutumia computer

    Kijana wa kiume aliye hitimu elimu ya chuo kikuu katika fani ya Biashara mwenye uwezo mkubwa sana wa kutumia computer hasa MS exel na Word processing anahitajika. Awe na uwezo wa kutengeza/kutumia pivotal tables, look up functions, scenario analysis, simple excel macros na uwezo wa kuchambua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mifugo (Dr. by Veterinarian): Karibuni kwa ushauri, tiba na dawa za mifugo tu

    Mkuu mimi niko Dar, ninampango wa kuanzisha mradi wa kati wa ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. naweza kupata mawasiliano yako tafadhari.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa walio na uelewa mzuri wa kimaisha katika Nchi za Canada, Australia au Switzerland

    Kama kweli umesona modelling na unaweza kutengeneza au kusimamia modelling process nitafute kwenye pm. Nitimie namba namba yako nitakufuta nikupe kazi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimenusurika ajali ya Ndege Dubai, ni jambo la kumshukuru Mungu

    Mkuu pole sana. Ila mimi naomba msaada wa contact ya huyo jamaa aliyewapa dawa ya mgongo maana ninatatizo kama hilo!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wizi kwenye ATM za CRDB

    Ni pm mkuu nitakupa msaada.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Njoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja

    Mkuu Eli nomeipenda hii ya kuku wa kienyeji! Unaweza kunipa namba ya fundi wa mabanda na mtalaam anisaidie? Nitashukuru sana Mkuu!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza fedha kwenye account yangu ya CRDB

    mkuu ni PM inaenekana tatizo lako halikurepotiwa sehemu husika! Hakika tutakusadia ndani ya muda mfupi sana!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la PayPal Refunds kwenye CRDB Account

    Mkuu tuma tatizo lako ukiambatanisha Na vielelezo vyako vyote customer-hotline@crdbbank.com; pia ukiona hupati ushirikiano ingia kwenye website ya crdbbank Plc, hapo utakuta email za wakurugunce wote wa Crdb escalate issue yako: na kuhakikishia masaa 12 Ni Mengi Swala lako litakuwa limekwisha!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la PayPal Refunds kwenye CRDB Account

    Mkuu mimi nadhani uende cRDB hq second floor uliza idara inayohusika na mambo ya kadi. Au Tuma email CRDB customer care Mkuu! Hili ni tatizo DOGO sana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

    Mkuu ni pm ushapata
  12. M

    JamiiForums Tanzania Buy HD premium Receiver: The best MPEG4 receiver with Free IPTV For Bein Sports & 1year TV1 CCcam

    Mkuu SS hapo kwenye mb si ndo garama ilipo kwa mwezi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ona soko zuri lenye bei nzuri kwa kuuza korosho zako Dar es salaam

    Mkuu maharage mnanunua kwa kilo sh?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Laptop, Smartphone na begi la laptop vinauzwa

    Mkuu chukka 200k kwa laptop
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kigamboni, Tshs.70million pamoja na Title Deed Transfer!

    Du Mkuu hiyo ni 70m au 70k?
Back
Top Bottom