wandugu mnao poteza pesa zenu kwa njia ya cards au sim banking kuwen makini sana na hizi huduma, epuka sana kushare pin zako za atm au simu banking, pia mwatakiwa kujua kwa wale wanaotumia ATM CARDS ZA VISA, MASTERCARDS hapa tz hata kama una chip and pin card kua makini sana na kitu kinaitwa card skimming, lakini pia tambua hakuna kitu risk kama atm cards hasa visa au mastercards kwa kufanya online transactions, kuna baadhi ya websites za online payment haziitaji passwords kwa ajili ya ku-authorize transaction yoyote, hizi website zinahitaji only serial numbers za kadi mfano kuna namba 16 zz serial number huwa zipo kwenye uso wa kadi , na nyingine huwa zipo nyuma ya kadi , so kwenye online transactions unakuta ni only namba nne za mwanzo na namba nne za mwisho pamoja na zile namba za nyuma ya kadi, so ukisha ingiza namba hizo , basi mtu ANAweza fanya payment yoyote online kwa kutumia hizo number , kwahiyo hata mie leo nkiokota kadi yako au ukinipa kadi yako, nikifanikiwa kukopi namba nne za mwanzo na namba nne za mwisho, na za nyuma ya kadi, ninaweza fanya any online payment fraudulently na hakuna wa kunikama,
solution yake ni ipi?
nenda benk yako waambie wa-disable hiyo kadi ili serial numbers zisiweze fanya chochote kweenye akaunt yako, report issue yako makao makuu (hasa risk department) branch kuna longo longo nyingi, pia pin nimuhimu sana kuzuhifadhi kwa siri